Dr.Dre ni kati ya wasanii wa Hip Hop waliopata heshima sana katika game na alitajwa katika marapper watano wenye mkwanja akiwemo P.Diddy, Jay Z, Birdman, 50 cent na yeye mwenyewe Dr Dre. Katika mauzo ya headphones zinazofahamika kama beats by dre zilimumrudisha Dre hadi juu na kuwa kati ya marapper wenye mkwanja, Na kwa sasa yuko tayari kuanza kuonekana kwenye Tv Drama mpaka sasa bado anaendelea kumalizia script ya Drama FX.
TUMEJIPANGA KUTEKELEZA BIMA YA AFYA KWA WOTE- NHIF
-
Na Mwandishi Wetu, Songea
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umesema umekamilisha maandalizi ya
kuanza kutekeleza Bima ya Afya kwa Wote ambapo imewaomb...
22 minutes ago
0 comments:
Post a Comment