Ni Katika kile kinyang'anyiro cha kupata vivutio asilia saba vyenye maajabu toka barani Afrika.
Kinyang'anyiro ambacho kilirindima mwaka jana 2012 kwa wadau kupigia kura vivutio 11 vilivyokuwa vikishindanishwa.
Mlima Kilimanjaro,Wanyama wanaohama wa Serengeti na Ngorongoro crater ndio yalikuwa maajabu toka Tanzania ambayo yalikuwa yameteuliwa kupigiwa kura,kwa kifupi vivutio vyote vitatu toka Tanzania vimeweza kufanya vyema.
Taarifa ya vivutio...