Monday 5 September 2016

MAELFU WAANDAMANA KUMPINGA RAIS BRAZIL…

Polisi katika mji wa Sao Paulo Brazil, wametumia vitoa machozi kuyatawanya maandamano
makubwa zaidi ya kupinga Rais mpya Michel Temer.
Maandamano zaidi dhidi ya kiongozi huyo yalifanyika katika mji wa Rio de Janeiro.Waandamanji hao wengi kutoka chama cha Rais aliyeondolewa madarakani Dilma Rouseff wametaka kufanyika uchaguzi mpya.

0 comments:

Post a Comment