Monday 5 September 2016

UTAFITI: KIINGEREZA HUTATIZA SANA WANAFUNZI TANZANIA



 
Nchini Tanzania taasisi ya utafiti wa masuala ya elimu Twaweza imetoa ripoti yake inayoonesha kuwa
asilimia 44 ya wanafunzi wanaomaliza shule za msingi,hawajui kusoma vitabu vya Kiingereza vya darasa la pili.
Hata hivyo kwa mujibu wa utafiti huo asilimia 16 wamebainika kuwa nao hawawezi kusoma vitabu vya Kiswahili vya darasa la pili.
Bonyeza play hapo chini kisikia  taarifa ya mwandishi wa BBC Munira Hussein.

0 comments:

Post a Comment