
Kwa mpenzi yeyote wa Kiswahili ni sharti azingatie stadi nne za lugha hiyo.
Yaani kuzungumza, kusoma kuandika na kuelewa lugha ya Kiswahili.
Hata hivyo baadhi ya wakenya wamekuwa wakilamika kuwa vitabu vingi vya Watanazani vimekuwa vikitahiniwa nchini Kenya hususan katika vidato vya tatu na vinne.
Ukweli ni kuwa Watanzania wamewabwaga wakenya na ipo mifano ya kutajika kuhusiana na hilo katika vitabu hususan vya fasihi.
Swali ni je Wakenya wamepewa...