
Maajabu kweli mengi
yanatokea hasa tukifanya vitu kupitiliza nikimaanisha nini, kuna bwana mmoja
kutoka Yancheng China alilewa kupitiliza jambo lililopelekea kumpiga busu kwa
lazima mke wa mwanae siku ya harusi yao.
Tukio hilo liliwaudhi watu
wengi hasa wanafamilia wa pande zote mbili na kuzua ugomvi baina yao.
Wanandoa hao wameumizwa na
kitendo hicho sana, ukizingatia video ya tukio hilo imezidi kusambaa katika
mitandao ya kijamii.
Police...