Monday, 26 February 2018

SUGU, MASONGA WAHUKUMIWA JELA MIEZI MITANO.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imewatia hatiani mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Emmanuel Masonga, na kuwahukumu kifungo cha miezi mitano jela.

Hukumu hiyo imetolewa leo Februari 26 2018 na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Michael Mteite.
Sugu na Masonga wamehukumiwa kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli.

Wawili hao wanadaiwa kutenda kosa hilo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Desemba 30 2017 eneo la Uwanja wa Shule ya Msingi Mwenge jijini Mbeya.

Related Posts:

  • AJALI YA BASI LA COAST LINE Hili ni basi la Coast line ambalo limepata ajali siku ya leo Juma mosi asubuhi katika kijiji cha Terrat kilichopo wilayani Sianjiro Mkoani Manyara. Basi hilo lilikuwa likitokea Mkoani Arusha likieleke Mkoania Dodoma,na nd… Read More
  • HIZI HAPA HASARA NA FAIDA ZA KULA NYAMA Kuna mjadala wa muda mrefu kuhusu suala la nyama nyekundu, ambapo makundi mawili tofauti yamekuwa yakitoleana hoja kuhusu faida na madhara ya kula nyama, hasa ile nyama iliyowekwa katika kundi la ‘nyama nyekundu’ (red meat)… Read More
  • JIWE LA MSINGI LA KWANZA=KIWA                 KIWA STRONG- Knowledge Inteligent With Action=KIWA Katika maisha siku zote ni kutokukata tamaa katika jambo unalolifanya,hiyo ndiyo siri ya mafanikio sababu yoyot… Read More
  • NJIA KUMI KUSAIDIA KUPUNGUZA UNENE..Kati ya sababu kuu zinazopunguza uhai wetu ni afya, unene na kutojua kujiangalia vyema.   1-ULAJI Ipo mifumo miwili ya kula. Chakula unachokula na namna unavyokila. Unavyokula. Kuna kula vyakula vidogo vidogo vyenye m… Read More
  • KWA NINI VIUMBE WENGI WANA MACHO MAWILINilikuwa natafakari juu ya uumbaji na kushangazwa na kitu kimoja cha ajabu; viumbe vingi hata vinavyoishi mazingira tofauti na vya aina (specie) tofauti sana vimefanana kwa kuwa na macho. Vinaweza vyote visiwe na miguu, mbaw… Read More

0 comments:

Post a Comment