Hili ni basi la Coast line ambalo limepata ajali siku ya leo Juma mosi asubuhi katika kijiji cha Terrat kilichopo wilayani Sianjiro Mkoani Manyara.
Basi hilo lilikuwa likitokea Mkoani Arusha likieleke Mkoania Dodoma,na ndipo lilipopata na ajali hiyo katika eneo la kijiji hicho baaada ya STALING kukatika na kusababaisha kuugonga mti uliokuwa kando ya bara bara hiyo na kupelea tairi za mbele zote 2 kupasuka.
Basi hilo limeharibika vibaya sehemu ya mbele upande kulia ambao huwa anakuwa Dreva,amabaye amevunjika mguu mara mbili na abiria wengine kupata majeraha mbali mbali.
Hawa ni baadhi ya abiria walionusurika katika Ajali hiyo
Na huu ndio mti wa Mgunga ambao Basi hili la COAST LIME limeugonga baada ya Kukatika STALING.
By Kiwa Strong..
WANADIPLOMASIA KUTEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII NCHINI.
-
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki imeandaa ziara maalum kwa Jumuiya ya wanadiplomasia nchini
kutemb...
4 hours ago
0 comments:
Post a Comment