Kulia ni Msanii Profesa Jay na kushoto ni Mkubwa Fella meneja wa kundi la TMK Family wakimkabidhi tuzo Roma ''Mpare wa milimani'' Msanii wa muziki wa Hiphop aliyejishindia tuzo ya msanii bora wa Hiphop.
DYSLEXIA TANZANIA YAANDAA MBIO KUHAMASISHA UELEWA KUHUSU WATOTO WENYE
CHANGAMOTO ZA KUJIFUNZA
-
Na Pamela Mollel, Arusha
Shirika lisilo la kiserikali Dyslexia Tanzania limeandaa mbio maalumu
zijulikanazo kama “Dyslexia Awareness Run”, zenye lengo la ...
6 hours ago
0 comments:
Post a Comment