Tuesday 17 April 2012

JIWE LA MSINGI LA KWANZA=KIWA



                KIWA STRONG- Knowledge Inteligent With Action=KIWA


Katika maisha siku zote ni kutokukata tamaa katika jambo unalolifanya,hiyo ndiyo siri ya mafanikio sababu yoyote unayemwona ana mafanikio basi kuna vikwazo amevipitia lakini hakukata tamaa.


Na wewe pia hali uliyonayo  ni zamu yako kuonyesha ujasiri wako juu ya mikwamo unayokutana nayo katika maisha.




0 comments:

Post a Comment