This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Wednesday, 15 July 2015

NASA wapata taarifa za Sayari ya Pluto……

Wana sayansi wa NASA kutoka Marekani wanasema kuwa,majaribio yao ya kurusha chombo kwenda katika sayari ya Pluto yamekuwa na mafanikio makubwa.

Tuesday, 14 July 2015

Michuano ya Kagame kuanza kutimua vumbi...!!!

Michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati jumamosi wiki hii inaanza kutimua vumbi mjini Dar es Salaam Tanzania huku jumla ya vilabu 13 vikishiriki.

Monday, 13 July 2015

Kambi ya jeshi yaporomoka na kuua 23 Urusi…

Takriban wanajeshi 23 wa Urusi wameuawa karibu na mji wa Omsk ulioko Siberia,baada ya jengo la kambi ya kijeshi kuporomoka.

Msako mkali Mexico wa muuza mihadarati……

Gwiji la Mihadarati anayesakwa Mexico Joaguin Guzman
Mamlaka ya nchini Mexico limeanza msako mkali wa kumtafuta Joaguin Guzman gwiji la biashara ya madawa ya kulevya duniani, kufuatia kutoroka kwake katika gereza lenye ulinzi mkali mwishoni mwa wiki.

Polisi 4 wauawa katika shambulizi Dar....

Maafisa wanne wa polisi na raia wawili wameuawa baada ya watu wasiojulikana kuvamia kituo cha polisi mjini Dar es salaam Tanzania.

Thursday, 9 July 2015

Udukuzi wa Marekani dhidi ya Ujerumani……

Vyombo vya habari vya Ujerumani vimeripoti kuwa,nakala za siri zilizochapishwa katika mtandao wa wikileaks hapo jana,zinanonesha kuwa shirika la usalama wa taifa la Marekani limekuwa likiwafanyia udukuzi machansela wa tatu waliotangulia wa nchi hiyo.

Wednesday, 8 July 2015

Mwanamme mzee zaidi duniani aaga dunia…!!!

Mwanamme mzee zaidi duniani raia wa Japan Sakari Momoi, ameaga dunia mjini Tokyo akiwa na umri wa miaka 112.

Marekani kufuta kazi baadhi ya wanajeshi..!!

Rais wa Marekani Barack Obamav
Vyombo vya habari nchini Marekani vimeripoti kuwa, jeshi la marekani limethibitisha kuwa na mpango wa kupunguza jeshi lake kwa kuwaachisha kazi askari wake wapatao arobaini kwa miaka miwili ijayo.

Mtandao usiokubali dhambi wavutia wengi....!!!

Waanzilishi wa Facegloria wanadai kwamba mtandao huo umewavutia wafuasi takriban laki moja tangu uzinduliwe mwezi Juni.

Friday, 3 July 2015

NI VITA BUNGENI JULY 3......



Baada ya jana Bunge kuharishwa kutokana na wabunge wa upinzani kugomea nia ya kuruhusu miswada mitatu ya mafuta na gesi, kuingizwa bungeni na kujadiliwa kwa hati ya dharura, leo limehairishwa tena baada ya kubuka mzozo bungeni huko.

Waziri aelezea hali ya ugaidi hapa nchini……

Naibu waziri wa mambo ya ndani Mheshimiwa Silima,amejibu swali juu ya hali ya ugaidi hapa nchini licha ya kifo cha kiongozi wa kundi la kigaidi Osama bin Ladden.
Naibu waziri ameeleza hiyo leo bungeni mjini dodoma alipokuwa akijibu swali ya mbunge wa Chonga Mheshimiwa Haroub Mohamed Shamis, aliyetaka kujua hali ya ugaidi ilivyo hapa nchini.
Katika majibu yake mheshimiwa Naibu waziri wa mambo ya ndani Silima,hapa anaanza kwa kuelezea ugaidi ni nini,Bonyeza play hapa chini kumsikiliza

Huruhusiwi kushika mimba Uchina bila ruhusa……

Kampuni moja ya Uchina inapanga kutoa masharti,ambapo wafanyikazi wake watatakiwa kupata ruhusa kabla ya kuanza familia.

Thursday, 2 July 2015

Bunge lachafukaa..

Spika wa bunge Anna Makinda leo amelazimika kuliarisha bunge kabla ya muda wake wa kawaida, baada ya kuibuka mzozo mkali baada ya Madai ya Mbunge wa Ubungo Mhe.Mnyika, juu ya ukiukwaji wa kanuni za bunge katika kuwasilishwa miswada mitatu bungeni hapo.

Uhuru Kenyatta ndio rais bora Afrika……

Uhuru Kenyatta ndiye rais bora barani Afrika
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, amechaguliwa na muungano wa wanafunzi wa Vyuo vikuu barani Afrika AASU kama rais bora barani Afrika mwaka huu.

Msumbiji yakubali mapenzi ya jinsia moja...!!

Nchi chache Afrika zimekubali mapenzi ya jinsia moja
Msumbiji imehalalisha mapenzi ya jinsia moja,na kuwa moja wapo wa nchi chache Afrika zinazohalalisha mapenzi ya jinsia moja.