Friday 3 July 2015

NI VITA BUNGENI JULY 3......



Baada ya jana Bunge kuharishwa kutokana na wabunge wa upinzani kugomea nia ya kuruhusu miswada mitatu ya mafuta na gesi, kuingizwa bungeni na kujadiliwa kwa hati ya dharura, leo limehairishwa tena baada ya kubuka mzozo bungeni huko.

Dalili za kuibuka mzozo zilionekana mapema tuu baada ya kipindi cha mawali na majibu baada ya Mbunge John Mnyika,kutaka shughuli za bunge zisitishwe na bunge lijadili zoezi la uandikishwaji wapiga kura na taratibu za uchaguzi mkuu wa mwezi octoba mambo ambayo yanasuasua.
Hata hivyo Mzozo wa leo umeanzia pale mbunge Matha malata alipoomba mwongozo kwa spika, juu ya mbunge mwenzake Moses Machali kutumia lugha mbaya dhidi yake,wakati wakishangilia huku kamati ya bunge zima ikiendelea,kama hukufanikiwa kusikia ilivyokuwa basi sikiliza Insert 1 hapo chini.
Insert 1-Bungeni
Baada ya spika kutoa maelezo yake juu ya mwongozo huo ulioombwa,ndipo akaruhusu mtoa hoja endelee,na hapo ndipo zogo lilipozuka baaada ya baadhi ya wabunge kupaza sauti zao wakiomba mwongozo,hivyo kuzua vurumani iliyokupelea Spika kuamua kuliharisha bunge na kuagiza kamati ya maadili kukutana,sikiliza Insert 2 hapo chini jinsi ilivyokuwa.
Insert 2-Bungeni



0 comments:

Post a Comment