Wednesday 15 July 2015

J.COLD AACHIA NGOMA NYINGINE-TUPENDANE FT NEY LEE

Kijana toka kilimanjaro anafahamka kama J.Cold anapokuwa na Microphone mkononi,ila jina lake la kiserikali ni January.

Hapa ametuletea zawadi ya Idd kwa kuachia ngoma mpya aliyomshirikisha mwanadada Ney Lee aliyoibatiza jina la Tupendane,Unaweza kuipakua na kuisikiliza hapa chini.

0 comments:

Post a Comment