Thursday, 16 July 2015

Umri wa kuolewa Uhispania ni miaka 16…

Uhispania imepandisha umri unaoruhusiwa kwa wasichana kuolewa hadi kumi na sita.
Hadi sasa wasichana nchini humo wangeruhusiwa kuolewa wakiwa na miaka kumi na nne bora tu wapate ruhusa ya jaji.

Sheria hiyo mpya sasa inanuiwa kupunguza visa vya udhalilishaji wa watoto nchini humo.

Related Posts:

  • VIBOKO NI MARUFUKU AFRIKA KUSINI..!!! Kanisa moja nchini Africa Kusini lilikiuka katiba kwa kuhimiza watoto kuchapwa viboko, imesema tume ya haki za binadamu nchini humo. Haikubaliki kanisa la Joshua Generation kuwahimiza waumini wake kuwaadhibu watoto wao … Read More
  • Watumiaji wa simu Afrika ni wengi kuliko wanaopata maji salama..!1 Story inayohusiana na maswala ua tafiti leo inagusa Afrika, ikiwa ni ripoti ya utafiti wa Afrobarometer ambayo television ya CNN wameiweka kwenye mtandao wao jana January 19 mwaka 2016. R… Read More
  • TETEMEKO LA ARDHI MELILLA… Watu katika eneo la Uhispania kaskazini mwa bara la Afrika la Melilla, walilazimika kukimbilia mitaani baada ya tetemeko la ardhi  la ukubwa wa  6.3 kipimo cha Richter,lililoyaharibu majengo yakiwemo m… Read More
  • TWIGA ALBINO APATIKANA TANZANIA..!! Mwanasayansi Dk Derek Lee amegundua twiga albino kwenye hifadhi ya mbuga ya Tarangire,iliyopo katika Mkoa wa Arusha nchini Tanzania. Mtafiti huyo alipiga picha mbalimbali zikiwa zinamwonyesha mnyama huyo akiwa katika ku… Read More
  • WASICHANA BIKIRA KUSOMESHWA BURE.!! Mashirika ya kutetea haki za binaadamu nchini Afrika Kusini, yanasema yamekasirishwa na mpango wa kuwapa ufadhili wa elimu ya vyuo vikuu wasichana 16 ikiwa watabakia bikira. Wasichana kutoka wilaya ya Uthukela ya m… Read More

0 comments:

Post a Comment