Tuesday 21 July 2015

New Joint from Mambo band-Dadavua

Wanafahamika kama Mambo Band,kundi linaloundwa na vijana watatu P.Man Star,Yuyu na Musa Bhai,wenye maskani yao mitaa ya Sekei-Kaza moyo Arusha.

Ngoma yao inafahamika kama DADAVUA imefanyika katika studio zao wenyewe zinazofahamika kama KM PRODUCTION MUSIC.
Mwanzo walifahamika na wimbo wao maarufu unatambulika kwa jina la Kalala Bar,ulifanyika katika hizo hizo studio zao wenyewe na kufanya vizuri katika radio mbali mbali.

Sasa hapa nimekuwekea wimbo wao mpya kabisa DADAVUA waliouachia leo Tar  21-7-2015 kweye radio station mbali mbali hapa nchini Ttanzania.

Unaweza kuusikiliaza kwa kubonyeza Play hapa chini au kuushusha ukausikilza kwa muda wako,suport vipaji vipya one love.

0 comments:

Post a Comment