Ugonjwa wa Saratani |
Mabadiliko katika mfumo wa kulala unaweza kusababisha mtu kupata saratani ya Maziwa.
Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya wanasayansi juu ya athari ya kazi za zamu kiafya.
Utafiti unaonesha kuwa wanawake wana hatari kubwa ya kupata
tatizo hilo,na kwamba ni tatizo kubwa kwa wafanyakazi wanaofanya kazi za zamu
na wahudumu wa ndege.
Matatizo hayo
yanakuja kutokana na kwamba,mabadiliko ya muda wa kulala unavuruga mfumo mzima
wa mwili kupumzika, hivyo huongeza hatari za kupata magonjwa.
Hata hivyo sababu nyingine zinazochangia ni kiwango cha shughuli
anazofanya mtu au kiasi cha vitamin D wanachopata.
Vimelea vya mtu kupata saratani huwa vinachelewa kwa saa 12
kwa wiki mtu kuvipata katika mwaka, na kwa wale wasio na mpangilio mzuri wa
kulala wanapata uvimbe baada ya wiki 50, lakini kwa wale wenye mpangilio mzuri
wa kulala uvimbe hujitotokeza wiki nane kabla.
Utafiti unaonesha mkanganyiko wa mwanga na giza,unaweza
kusababisha mtu kupata saratani.
Kwa Ujumla, mtu
kufanya kazi za zamu wakati wote kunaleta msongo wa mawazo na kupunguza mwili.
0 comments:
Post a Comment