July 29, 2015
Usikose nakala yako ya Gazeti la TABIBU kesho Alhamisi kwa bei ya sh. 500/= tu.!!
TABIBU michezo wiki hii.!!
Related Posts:
AHUKUMIWA KIFUNGO KWA KULALA NA MPENZI WA MWANAE…
Mwanamke
mmoja ambaye ametambulika kwa jina la Alaine Goodman (46) amehukumiwa kifungo
cha miaka miwili gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kufanya mapenzi na
kijana mwenye umri mdogo ambaye ni mpenzi wa mtoto wake.
G… Read More
MWENYEKITI WA CCM MBEYA ANUSURIKA KUUAWA..
Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini, Efrahim Mwaitenda mwenye umri wa
miaka 60 amejeruhiwa kwa kupigwa risasi mgongoni na mtu au watu wasiofahamika.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Emmanuel Lukula
amesema tukio hilo li… Read More
MVUA YALETA MAAFA WILAYANI MPWAPWA…
Watu wanne wakiwamo watatu wa familia
moja ambao ni wakazi wa Kijiji cha Isighu kitongoji cha Majumba Sita wilayani
Mpwapwa mkoani Dodoma wamekufa maji baada ya makazi yao kusombwa na mvua iliyo
nyesha usiku wa kuamkia Ja… Read More
SUDAN YAPINGA AMRI YA TRUMP..!
Wizara ya mashauri ya nchi za kigeni nchini Sudan imemuita mwanabalozi wa
Marekani mjini Khartoum kupinga hatua ya Rais Donald Trump ya kuwapiga marufuku
raia wa nchi hiyo kuingia Marekani.
Sudan inasema kuwa
hatua hiyo… Read More
MAHARUSI WAFUNGA NDOA KWA KUTUMIA DOLA MOJA KENYA
Ushawahi kuona
sherehe ya harusi isiyo na burudani wala mapochopocho na gharama husika haizidi
dola moja?
Basi wiki hii, Wakenya, Wilson Mutura na Ann
walitumia shilingi mia moja au dola moja tu kufunga ndoa.
Dola yeny… Read More
0 comments:
Post a Comment