Thursday 2 July 2015

Bunge lachafukaa..

Spika wa bunge Anna Makinda leo amelazimika kuliarisha bunge kabla ya muda wake wa kawaida, baada ya kuibuka mzozo mkali baada ya Madai ya Mbunge wa Ubungo Mhe.Mnyika, juu ya ukiukwaji wa kanuni za bunge katika kuwasilishwa miswada mitatu bungeni hapo.


Miswada iliyoibua mzozo huo ni pamoja na mswada wa sheria ya petrol wa mwaka 2015, mswada wa sheria ya usimamizi wa mapato mafuta na gesi wa mwaka 2015,mswada wa sheria ya uwazi na uwajibikaji katika tasnia ya uchimbaji Tanzania wa mwaka 2015.
Kama hukufanikiwa kulifatilia bunge wakati mzozo huo ulipoibuka,
Kiwale11blog  inakupatia fursa hiyo hapa.
Bonyeza play hapa chini kusikiliza hilo zogo lilipoanzia.

0 comments:

Post a Comment