Monday, 13 July 2015

Msako mkali Mexico wa muuza mihadarati……

Gwiji la Mihadarati anayesakwa Mexico Joaguin Guzman
Mamlaka ya nchini Mexico limeanza msako mkali wa kumtafuta Joaguin Guzman gwiji la biashara ya madawa ya kulevya duniani, kufuatia kutoroka kwake katika gereza lenye ulinzi mkali mwishoni mwa wiki.Helikopta za Blackhawk ambazo zimeonekana kuruka juu gerezani Altiplano magharibi ya Mexico City mahali alipokuwa ameshikiliwa huku ndege zote zikiwa zimezuiwa kuruka karibu na Uwanja wa ndege.
Wafanyakazi wa magereza wanahojiwa baada kubainika kuwa Joaguin alitoroka kupitia njia ya nchini ya ardhi yenye urefu wa kilomita moja na hii ni mara ya pili kutoroka.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Marekani, Loretta Lynch, ametoa msaada wa kumkamata Guzman ambae pia hujulikana kama ' El Chapo ' .

Related Posts:

  • WHATSAPP YAFUNGWA KWA SAA 72 BRAZIL..! Hakimu mmoja nchini Brazili amefunga mawasiliano ya mtandano wa simu kwa njia ya whatsapp kwa saa 72. Hakimu huyo Marcel Montalvao amesema kampuni inayomiliki mtandao huo imeshindwa kusaidia kutoa taarifa katika kesi … Read More
  • TANZANIA NI NCHI YA PILI AFRIKA, AMBAYO UCHUMI WAKE UNAKUA KWA KASI….. Shirika la fedha duniani IMF, limeitaja Tanzania kama nchi ya pili Afrika ambayo uchumi wake unakua kwa kasi. IMF imesema kwa ukuaji wa asilimia 6.9, Tanzania ipo chini ya Ivory Coast yenye asimilia 8.5. Wamesema Tan… Read More
  • SARAFU ZA KIRUMI ZAPATIKANA UHISPANIA..!! Katika hali ya kushangaza wafanyikazi wa ujenzi kusini mwa Uhispania, wamegundua akiba kubwa ya sarafu za kale za Kirumi nchini humo. Wafanyakazi hao wamegundua sarafu hizo,wakati wakifanya ukarabati kwenye mabomba ya m… Read More
  • NGOMA MPYA YA P-MAN STAR.!! P Man Star ni mmoja wa wasanii wanaounda kundi la Mambo Band lenye maskani yake maeneo ya Sekei jijini Arusha. Kundi hili linafanya mziki wa Afro Pop na limefanya vizuri mwaka jana na ngoma zao kama, Kalalabar na D… Read More
  • WANAJESHI WA UINGEREZA WAWASILI SOMALIA…!! Kikosi kidogo cha jeshi la Uingereza kimewasili nchini Somalia kusaidia wanajeshi wa muungano wa Afrika walioko huko. Karibu wanajeshi 10 wa uingereza watafutiwa na kikosi kingine cha wanajeshi 70. Watasaidia kutoa … Read More

0 comments:

Post a Comment