Tuesday, 21 July 2015

Kitimtim michuano ya Klabu Bingwa Ulaya...

Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya inaendelea tena hii leo kwa timu zile zinacheza round yakwanza ambapo Dila Gori ya Geogia itakuwa na kibarua kigumu itakapoumana vikali na Partizan Belgrade ya Serbia.

Huku FC Pyunik ya Armenia ikikutana uso kwa uso na Molde ya Norway.
Milsami ya Boldova itapimana nguvu na Ludo Bulgaria.
Mechi nyingine za Klabu Bingwa barani Ulaya hapa chini

Dila Gori v Partizan Belgrade 13:30

FC Pyunik v Molde 15:00

Milsami Orhei v Ludo Razgd 16:00

HJK Helsinki v FK Ventspils 17:00

Maccabi Tel Aviv v Hibernians FC 18:30

Lincoln Red Imps v FC Midtjylland 19:00

Vardar v Apoel Nic 19:00

Zalgiris v Malmö FF 19:10

Crusaders FC v Skenderbeu Korce 19:45

Related Posts:

  • MTI WENYE MIAKA 600 WAPATIKANA……. Akiuzungumzia mti huo ambao unapatikana katika Kijiji cha Tema wilayani Moshi, mtafiti huyo amesema mti huo ambao ni mrefu kuliko yote barani Afrika una urefu wa mita 81.5 na uko katika eneo lililopo kwenye Hifadhi ya Tai… Read More
  • VIDEO: HERI MUZIKI-SWEET LOVE Heri Muziki ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Sweet Love’. Video imeongozwa na Nick Dizzo. … Read More
  • BARAKAH DA PRINCE NA NAJ KUNANI….? Barakah Da Prince alikaakitakona Mtangazaji wa ABM Radio ya Dodoma, DJ Rodger kuzungumzia status ya uhusiano wake na Naj. Kwenye interview hiyo Barakah amedai kuwa bado mapenzi yao yapo moto moto ila wameamua kutop… Read More
  • VIDEO: TIMBULO – MFUASI Timbulo ameachia video ya wimbo wake Mfuasi. Wimbo umetayarishwa kwa ushirikiano wa Maximizer & Mr. T-Touch huku video ikiongozwa na Dr. Eddie wa Dreamland Music Entertainment ya Nairobi. … Read More
  • NECTA YAZIDI KUWABANA WALIOGHUSHI VYETI Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limeendelea kuwatangazia wananchi kuendelea kuwapa ushirikiano kwa kutoa taarifa mbalimbli ikiwemo taarifa kuhusu watumishi walioghushi au kutumia vyeti vya watu wengine. Tangazo hi… Read More

0 comments:

Post a Comment