
Mfalme Salman
wa Saudi Arabia ametoa idhini ya wanawake kuendesha magari, hii ikiwa ni kwa
mara ya kwanza katika historia ya taifa. Uamuzi huu umefikiwa kutokana na
harakati za muda mrefu kwa makundi ya wanawake na haki za bindamu kushinikiza
wanawake waruhusiwe kuendesha magar...