This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Monday, 27 July 2015

Mwanawe Whitney afariki……………

Bobbi Kristina Brown mtoto wa marehemu Whitney Houston ambaye alikuwa gwiji wa muziki waR&B,amefariki dunia

Friday, 24 July 2015

Korea kaskazini yatoa utaratibu mpya kila ikifika saa 11 Alfajiri……

 
Kama ulikuwa hufahamu ni kwamba Korea Kaskazini sasa hivi hali ya hewa ni joto sana, lakini yapo mengine toka huko ambapo msimu huu wa joto kali umepewa jina la Sambok.

Sayari nyingine yagunduliwa…

Wanasayansi wa taasisi ya Marekani ya Uchunguzi wa Anga NASA, wamegundua sayari inayofanana kwa karibu zaidi na dunia kuliko sayari nyingine zote.

Thursday, 23 July 2015

Gereza la Guantanamo lakaribia kufungwa..

gereza la Guantanamo linamilikiwa na Marekani
Ikulu ya White house imesema kuwa mipango ya kulifunga gereza la Guantanamo Bay nchini Cuba imefikia awamu za mwisho.

Wednesday, 22 July 2015

Mabadiliko ya muda wa kulala na saratani.

Ugonjwa wa Saratani

Mabadiliko katika mfumo wa kulala unaweza kusababisha mtu kupata saratani ya Maziwa.

Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya wanasayansi juu ya athari ya kazi za zamu kiafya.

Matumaini ya tiba ya ubongo…….!

Maradhi ya Alzheimer huua seli za ubongo
Data zinasubiriwa kwa hamu kuhusu dawa inayotumainiwa kuponya ugonjwa wa udhoofu wa ubongo (Alzheimer) baadae leo.

Tuesday, 21 July 2015

New Joint from Mambo band-Dadavua

Wanafahamika kama Mambo Band,kundi linaloundwa na vijana watatu P.Man Star,Yuyu na Musa Bhai,wenye maskani yao mitaa ya Sekei-Kaza moyo Arusha.

Ngoma yao inafahamika kama DADAVUA imefanyika katika studio zao wenyewe zinazofahamika kama KM PRODUCTION MUSIC.
Mwanzo walifahamika na wimbo wao maarufu unatambulika kwa jina la Kalala Bar,ulifanyika katika hizo hizo studio zao wenyewe na kufanya vizuri katika radio mbali mbali.

Sasa hapa nimekuwekea wimbo wao mpya kabisa DADAVUA waliouachia leo Tar  21-7-2015 kweye radio station mbali mbali hapa nchini Ttanzania.

Unaweza kuusikiliaza kwa kubonyeza Play hapa chini au kuushusha ukausikilza kwa muda wako,suport vipaji vipya one love.

Kitimtim michuano ya Klabu Bingwa Ulaya...

Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya inaendelea tena hii leo kwa timu zile zinacheza round yakwanza ambapo Dila Gori ya Geogia itakuwa na kibarua kigumu itakapoumana vikali na Partizan Belgrade ya Serbia.

Kizee chauawa kwa kudaiwa mchawi,India…….

Wanyama pia hutumiwa katika ushirikina
Bibi kizee mmoja amenyongwa hadi kufa na wanakijiji wenzake, kwa tuhuma za ushirikina, kaskazini mashariki mwa India.

Thursday, 16 July 2015

George HW Bush avunjika shingo..........

Aliyekuwa rais wa Marekani George HW Bush amelazwa hospitalini baada ya kuvunjika mfupa wa shingoni alipoanguka nyumbani kwake huko Maine.

Je wajua kuna tamasha la mbu Urusi…..?

Watu wengi wanawachukia, lakini mbu sasa husherekewa kwa tamasha la kipekee katika mji mmoja huko nchini Urusi.

Umri wa kuolewa Uhispania ni miaka 16…

Uhispania imepandisha umri unaoruhusiwa kwa wasichana kuolewa hadi kumi na sita.
Hadi sasa wasichana nchini humo wangeruhusiwa kuolewa wakiwa na miaka kumi na nne bora tu wapate ruhusa ya jaji.

Sheria hiyo mpya sasa inanuiwa kupunguza visa vya udhalilishaji wa watoto nchini humo.

Picha ya kwanza kutoka sayari ya Pluto……

Picha ya kwanza inaonyesha kwa undani sayari ya Pluto ilivyo imeonyeshwa kwa mara ya kwanza duniani.

Wednesday, 15 July 2015

J.COLD AACHIA NGOMA NYINGINE-TUPENDANE FT NEY LEE

Kijana toka kilimanjaro anafahamka kama J.Cold anapokuwa na Microphone mkononi,ila jina lake la kiserikali ni January.

Hapa ametuletea zawadi ya Idd kwa kuachia ngoma mpya aliyomshirikisha mwanadada Ney Lee aliyoibatiza jina la Tupendane,Unaweza kuipakua na kuisikiliza hapa chini.

Wabunge wa Rwanda wamuunga mkono Kagame kugombea muhula wa tatu..

Wabunge wa Rwanda wamepiga kura jana Jumanne kuunga mkono mabadiliko ya katiba, ili kumruhusu rais Paul Kagame awanie muhula wa tatu madarakani, wakiunga mkono waraka ulotiwa saini na mamilioni ya raia.