This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Monday, 5 October 2015

Antenna Show ya radio 5 Tar 30-9-2015


Kama ulimiss kusikia nilichokifanya kwenye Show ya Antenna Tarehe 30-9-2015, basi nimekupachikia hapa twende sawa, show hufanyika siku tano za za wiki yaani Monday to Friday kanzia saa kumi kamili jioni mpaka saa kumi na mbili nusu jioni.


KIWA STRONG "Kiwale 11"

Thursday, 1 October 2015

Nyani wazima kituo cha redio Zimbabwe……

Nyani wasumbufu katika kijiji cha Zvishane mjini Zimbabwe,wamedaiwa kukizama kituo kimoja cha cha redio nchini humo.

Mbwa atumia wiki tatu kujifunza lugha mpya……

Mbwa aliyekuwa akiandamana na mmiliki wake kwenye darasa la kujifundisha lugha, ameshangaza wengi baada ya kuanza kuelewa lugha hiyo baada ya wiki tatu pekee.

Wednesday, 30 September 2015

Madaktari wapata idhini ya kupandikiza tumbo la Uzazi…

Mtoto wa kwanza kuzaliwa baada ya mamake kupandikizwa tumbo la uzazi
Madaktari nchini Uingereza, wamepata idhini ya kupandikiza tumbo la uzazi la wanawake kwa mara ya kwanza.


Usikose kusoma gazeti lako pendwa la afya TABIBU kesho alhamisi kwa bei ya sh. 500/= tu.
                                                             TABIBU michezo wiki hii.!!


Tuesday, 29 September 2015

Ng’ombe wawekwa ‘reflector’ Zimbabwe…

Wakazi wa wilaya moja nchini Zimbabwe, wamevumbua njia ya kuzuia ajali za barabarani zinazohusisha ng’ombe wanaoranda randa.

Kondomu yenye umbo la ch**p Uganda….

Kuna aina mpya kondomu ya wanawake ambayo inapigiwa upatu na shirika moja nchini Uganda.
Kondomu hii inaumbo la suruali ya ndani ya wanawake.

Maji yagundulika katika sayari Mars…………

Wanasayansi wametangaza kuwa kuna ushahidi wa kuaminika kuwa,kuna maji katika sayari ya Mars na hivyo kuibua matumaini kuwa kuna uwezekano wa viumbe kuishi katika sayari hiyo.

Friday, 25 September 2015

WHO yasema watu wengi Ulaya ni wanene……



Watu wengi Ulaya ni wanene kupita kiasi, kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO).

Thursday, 24 September 2015

Roma afunguka kuhusu Ngoma yake mpya na vitisho anavyopata....

Anafahamika kama Roma Mkatoliki Msanii wa Hip Hop,ngoma yake mpya ya Vivaa Roma vivaa imekuwa gumzo kubwa mtaani kwa sasa,na hii ni kutokana na kuzungumza vitu vizito kwa uwazi mkubwa.
Kiwale11.blogspot.com imepiga story na ROMA na amefunguka mambo mengi kuhusu wimbo wake huo, sikiliza mahojia hayo hapa chini kwa kubonyeza Play.

Upinzani wavalia sare za wanafunzi Kenya………

Wabunge na maseneta walivalia mavazi yanayofanana na sare za wanafunzi
Baadhi ya viongozi wa upinzani nchini Kenya wamevalia mavazi yanayofanana na sare za wanafunzi wakiitaka serikali kulipa walimu nyongeza ya mishahara.

Wednesday, 23 September 2015


Usikose kusoma nakala yako ya gazeti la TABIBU kesho alhamisi kwa bei ya sh 500/= tu.!!
                                                       TABIBU michezo wiki hii.!!

Dawa ya kupunguza makali ya HIV yapanda kwa 5000%...

Kampuni moja ya kutengeza madawa imelazimika kujitetea vikali baada ya kupandisha gharama ya dawa ya kupunguza makali ya Ukimwi kwa asilimia elfu 5.

Tuesday, 22 September 2015

Azikwa akiwa hai India………

Mtu mmoja nchini India amefariki, baada ya wafanyikazi wa ujenzi ambao hawakumuona katika shimo kumzika akiwa hai.

Monday, 21 September 2015

Maoni ya facebook yamtia mashakani…….

Mahakama ya Singapore imemuhukumu muuguzi mmoja kutoka nchini Ufilipino kifungo cha miezi minne kwa kuchapisha maoni ya uchochezi kuhusu taifa hilo.