VIDEO: KING KIBA ATUA AFRIKA KUSINI KUANZA ZIARA YAKE
Mshindi wa tuzo ya MTV EMA 2016, Alikiba ametua nchini Afrika
Kusini tayari kwa ziara yake ya kwanza nchini humo.
Alikiba (nyuma) akiwa na meneje wake Seven Mosha nchini Afrika Kusini)Wakati akitangaza kwa mara ya kwa…Read More
WALIOONGOZA MGOMO WA MADAKTARI WAACHIWA HURU
Mahakama ya Rufaa nchini Kenya
imeamuru kuachiliwa huru mara moja kwa viongozi wa chama cha wauguzi na
madaktari nchini humo waliohukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela.
Viongozi hao saba walifungwa Jumatatu
wiki …Read More
ZAIDI YA WATOTO 25,000 KUPATA KANSA KILA MWAKA..
Katika Kuadhimisha Siku ya
Saratani duniani, Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa Asasi ya Marafiki wa Watoto
wenye Saratani Tanzania (FoCC) Janeth Manoni, amesema kwa sasa ugonjwa huo
umekuwa tishio kwa watoto nchini, ambapo in…Read More
0 comments:
Post a Comment