Tuesday, 6 October 2015

Facebook kuanzisha Satelite yao…

Kampuni ya Facebook imetangaza kuwa itaanzisha mtandao wa satellite, ili kutoa huduma za internet kwenye maeneo yaliyo mashambani barani Afrika.

Kwa ushirikiano na kampuni ya Eutelsat iliyo Ufaransa, Facebook wanatumainia kuwa mtambo wa kwanza wa satelite utakuwa tayari kuzinduliwa mwaka ujao.

Baadhi ya mataifa kama India yanapinga hatua hiyo ya Facebook, ambayo wanadai inahujumu kampuni ndogo zinazotoa huduma za simu katika mataifa yanayoendelea.

Related Posts:

  • Dewji apata tuzo ya uongozi... Mtanzania mfanyabiashara maarufu na Rais wa Kampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji (MO) ,ameibuka mshindi wa tuzo ya Mtu aliyefanya vizuri katika Uongozi kwa Mwaka 2016 inayotolewa na Jarida la African Leadership. Dewji am… Read More
  • Jammeh asema ataondoka madarakani.... ..... Kiongozi wa muda mrefu nchini Gambia Yahya Jammeh, anasema kuwa ataondoka madarakani baada ya kukataa kukubali kushindwa. Katika tangazo kwenye runinga, Jammeh alisema kuwa hakuna haja ya hata tone moja la damu kumw… Read More
  • OBAMA AMALIZA MUDA WAKE IKULU YA WHITE HOUSE.. Rais Barack Obama wa Marekani amekuwa na mkutano wake wa mwisho na waandishi habari Ikulu mjini washington, tukio la mwisho la shughuli zake rasmi , kabla ya kumkabidhi madaraka Rais mteule Donald Trump. Obama aligusia … Read More
  • Watu 3 huhitaji viungo bandia kila siku MOI. TAASISI ya Tiba na Mifupa Muhimbili (MOI), imesema katika idadi yote ya majeruhi wanaowapokea, kila watu 50 wanaofika kunakuwepo na moja ambaye anakuwa ameumia zaidi mguu ama mkono ambao mwishowe inabidi uondolewe. Changa… Read More
  • MPAKISTAN ANAYEDAI KUWA NA NGUVU ZAIDI DUNIANI TANGU vikatuni vya Hulk, jitu la kutisha na lenye nguvu ijapokuwa la kufikirika vilipoanzishwa mapema katika miaka ya 1960, mashabiki wamekuwa wakishangazwa na ushupavu au nguvu zaidi kuliko ghadhabu zake. Tangu hapo kika… Read More

0 comments:

Post a Comment