UTAFITI: IDADI YA WATU WALIO NA UPOFU KUONGEZEKA DUNIANI...
Ripoti mpya imesema idadi ya watu wanaopata upofu duniani kote inaweza kuongezeka mara tatu.
Utafiti uliochapishwa kwenye Lancet ambalo ni jarida la afya linaloangalia afya ya dunia linatabiri
watu watakaopata upofu wata…Read More
UNAWEZA KUSAFIRI UKITUMIA NDEGE ISIYO NA RUBANI....?
Hilo ndilo
swali mamilioni ya watu huenda wakajiuliza siku za usoni ikiwa wanataka
kusafiri kwenda likizo kote duniani.
Tunaposogea karibu na kutumia magari yasiyokuwa na dereva,
ambayo tayari yameingia barabarani katika…Read More
FACEBOOK KUJA NA RUNINGA YA MTANDAONI..
Kampuni kubwa zaidi ya mitandao ya
kijamii duniani Facebook, inatarajia kuanza kutoa huduma ya video itakayokuwa
ikiitwa ”watch” ama tazama.
Facebook inasema kwamba imewekeza
mamilioni ya dola katika kuufanya mfumo hu…Read More
KIPINDUPINDU CHAANZA KUSAMBAA MBEYA..........
Wakati
ugonjwa wa kipindupindu ukiendelea kuwatesa wananchi wa Wilaya ya Mbarali
mkoani hapa, ugonjwa huo umepiga hodi ndani ya jiji la Mbeya na hadi leo
Alhamisi wagonjwa watano waligundulika.
Meya
wa jiji hilo, Mchu…Read More
VIDEO MPYA:ROMA ASIMULIA ALIVYOTEKWA….
Rapa Roma Mkatoliki ameachia video ya wimbo wake ‘Zimbabwe’ ukiwa ni wimbo wake wa kwanza tangu alipotekwa na kuteswa kwa siku tatu.
Kupitia ‘Zimbabwe’ Roma amesimulia tukio la utekaji wake, watu anaoamini walimt…Read More
RIBA YA BENKI KUU KUENDELEA KUWA ASILIMIA 6
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
KAMATI ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania imeamua Riba ya Benki Kuu
(CBR) kuendelea kuwa asilimia 6 mara baada kufan...
0 comments:
Post a Comment