Usikose kusoma nakala yako ya gazeti la TABIBU leo alhamisi liko mitaani kwa bei ya sh. 500/= tu. Utapata kujua undani wa tiba za asili na kisasa kuusu magonjwa mbalimbali.
ATOLEWA KWENYE NDEGE KWA KUONGEA KIARABU……
Mwanafunzi wa chuo kikuu raia wa Iraq katika jimbo la California nchini
Marekani, anasema kuwa
alitolewa kutoka kwenye ndege ya shirika la ndege la
Southwest baada ya kufanya mazungumzo kwa lugha ya kiarabu.
Shirika hil…Read More
MSOMI AVUA NGUO KWA KUFUNGIWA OFISI…
Hatua ya mwanamke mmoja msomi ya kuvua nguo nchini Uganda, imezua mjadala
mkali nchini humo.
Baada ya kukerwa na hatua ya
kufungiwa nje ya ofisi yake na usimamizi wa chuo kikuu cha Makerere, Stella
Nyanzi alivua nguo zo…Read More
ATUMIA VIDONGE VYA NGUVU ZA KIUME KUZOA KURA…!!
Katika mataifa mengi ya Afrika wakati wa uchaguzi, wanasiasa hutoa pesa
ili kuwashawishi wapigaji kura kuwachagua.
Lakini amini usiamini huko
Korea Kusini, polisi wameanzisha uchunguzi baada ya kuibuka madai kuwa wapiga…Read More
IMARATI KUJENGA KITUO CHAKE CHA KIJESHI NJE YA NCHI…
Umoja wa Falme za Kiarabu
(Imarati) umeanza kujenga kituo chake cha kwanza cha kijeshi nje ya nchi huko
Eritrea.
Taarifa zinasema kuwa picha za
satalaiti zilizopatikana, zinaashiria kuwepo kituo kimoja kipya cha kijeshi…Read More
MWANAMUZIKI AFUTA TAMASHA BAADA YA MBWA WAKE KUUGUA…
Mwanamuziki mmoja kutoka Uingereza, ameahirisha tamasha lake la muziki
visiwa vya Caribbean baada ya mbwa wake kuugua.
Joss Stones alisema mbwa huyo
kwa jina Missy ni kama mtoto kwake.
Aliandika kwenye ukurasa wake
wa …Read More
0 comments:
Post a Comment