This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Sunday, 5 March 2017

TUNZA SIKIO KAMA YAI KWANI LIKISHAHARIBIKA NDIO BASI- WHO

Zaidi ya asilimia tato ya watu wote duniani wanaishi na tatizo la kupoteza uwezo wa masikio kusikia, lakini kuzuia tatizo hilo ni rahisi kuliko kuitibu.

POMBE ZA VIROBA ZENYE THAMANI YA BILIONI 10.8 ZAKAMATWA DAR…….

Pombe kali zilizofungashwa katika vifungashio vya plastiki  maarufu kama ‘viroba’ zenye thamani ya shilingi Bilioni 10.8 zimekamatwa Jijini Dar es Salaam katika msako wa pombe hizo uliofanyika kuanzia Machi 01 mpaka 03, mwaka huu.

NECTA YAZIDI KUWABANA WALIOGHUSHI VYETI

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limeendelea kuwatangazia wananchi kuendelea kuwapa ushirikiano kwa kutoa taarifa mbalimbli ikiwemo taarifa kuhusu watumishi walioghushi au kutumia vyeti vya watu wengine.

BARAKAH DA PRINCE NA NAJ KUNANI….?

Barakah Da Prince alikaakitakona Mtangazaji wa ABM Radio ya Dodoma, DJ Rodger kuzungumzia status ya uhusiano wake na Naj.
Kwenye interview hiyo Barakah amedai kuwa bado mapenzi yao yapo moto moto ila wameamua kutopenda sana kupostiana kwenye mitandao ya kijamii kama zamani.
Ameongeza kuwa ukurasa wake wa Instagram sasa utaendelea kujikita katika kazi zake zaidi na sio mambo ya uhusiano. Msikilize zaidi hapo chini.

VIDEO: TIMBULO – MFUASI

Timbulo ameachia video ya wimbo wake Mfuasi. Wimbo umetayarishwa kwa ushirikiano wa Maximizer & Mr. T-Touch huku video ikiongozwa na Dr. Eddie wa Dreamland Music Entertainment ya Nairobi.

VIDEO: HERI MUZIKI-SWEET LOVE

Heri Muziki ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Sweet Love’. Video imeongozwa na Nick Dizzo.

MTI WENYE MIAKA 600 WAPATIKANA…….

Akiuzungumzia mti huo ambao unapatikana katika Kijiji cha Tema wilayani Moshi, mtafiti huyo amesema mti huo ambao ni mrefu kuliko yote barani Afrika una urefu wa mita 81.5 na uko katika eneo lililopo kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (Kinapa).

VIDEO: RAIS MAGUFULI ALIVYOAGIZA MKANDARASI ANYANG’ANYWE PASSPORT.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemuagiza Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi kumnyang’anya Pasi (passport) ya Kusafiria Mkandarasi wa Mradi wa Maji wa Nga’pa hadi atakapomaliza Ujenzi wa mradi huo.

TRUMP AMSHUTUMU OBAMA KUMDUKUA…..

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa amegundua Rais mstaafu wa nchi hiyo ambaye ni mtangulizi wake, Barack Obama alikuwa akidukua simu yake mwezi mmoja kabla ya kuchaguliwa

NYUMBA YA ASKOFU GWAJIMA YAFANYIWA UPEKUZI….

Wakili wa Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na uzima, Askofu Josephati Gwajima,  Peter Kibatala amesema kuwa polisi wamefanya upekuzi kwa mara nyingine nyumbani kwa Askofu huyo.

NYANYA NDIO TUNDA NI MAARUFU ZAIDI DUNIANI..!

Ikiwa ungeulizwa kutaja tunda bora zaid duniani, labda nyanya haitakuwa akilini mwako.

NJAA YASABABISHA VIFO VYA ZAIDI YA WATU 100 SOMALIA...

Waziri mkuu wa Somalia Hassan ali Khaire, amesema watu mia moja na kumi wamefariki kutokana na visa vinavyo husiana na ukame na baa la njaa katika eneo la kusini mashariki mwa nchi hiyo, katika kipindi cha saa nane zilizopita.

Friday, 3 March 2017

VIDEO: STAN BAKORA AKIMUIGIZA RC MAKONDA

Mchekeshaji Stan Bakora akimuigiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametaja orodha ya wasanii 10 wa muziki ya uigizaji ambao wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu bila kuoa mabao yeye amewaita wahalifu.
Stan Bakora amewataka wasanii hao akutane nao ‘sentro’ kwa kile alichosema kuwa wanakosea kufanya hivyo,tizama video hapo chini.

JE, WAJUA KUWA USINGIZI HUSABABISHA UGONJWA WA KUNENEPA..?

Kulala kwa masaa mengi au kwa muda mfupi vinaweza kuchangia mtu kunenepa kupita kiasi

Thursday, 2 March 2017

NEW JOINT: HARMORAPA FT NATURE-KIBOKO YA MABISHOO

Msanii mkongwe katika muziki wa bongo fleva, Juma Nature amembariki rapa anayechipukia Harmorapa na kuweza kufanya naye kazi chini ya producer T Touchez, iliyopewa jina la 'Kiboko ya Mabishoo'
Katika kazi hiyo ambayo tayari imeanza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, Harmorapa amewachana baadhi ya mastaa akiwemo dansa  Mose Iyobo, na watu wengine ambao wamekuwa wakim-'diss' kuwa hajui muziki na kusema yeye hajali maneno yao machafu kwani yeye amekuja kutafuta pesa.
Mbali na Mose Iyobo Harmorapa amechana Jacquline Wolper, Aunty Ezekiel na watu wa WCB
Kwa upande wa Harmorapa jana alisema kuwa kwa sasa wanafanya video ya kazi hiyo na kusema wanategemea video ya ngoma hiyo kutoka siku za karibuni,isikilize hap chini.