This is default featured slide 1 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 2 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 3 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 4 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 5 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
Friday, 12 June 2015
Aliye pandikizwa uume,baba mtarajiwa…..!!
June 12, 2015
No comments
Daktari wa usapuaji nchini Afrika Kusini
amethibitisha kwamba mwanamme wa kwanza aliyepandikizwa uume atakuwa baba hivi
karibuni.
Gari linalohisi mashimo barabarani...!
June 12, 2015
No comments
Wednesday, 10 June 2015
CCM yamsajili wa darasa la saba kugombea urais..!!!
June 10, 2015
No comments
Makada watatu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
akiwamo wa darasa la saba, jana walijitokeza kuchukua fomu kwa ajili ya kuomba
kuteuliwa na chama hicho wagombee urais.
Mtoto azaliwa kutokana na mayai yaliyohifadhiwa kwenye Jokofuu!!!
June 10, 2015
No comments
Watawa wakwama ndani ya lifti kwa siku 3…
June 10, 2015
No comments
Watawa wawili
wameokolewa kutoka kwa lifti mjini Rome,baada ya kukwama kwa siku tatu bila
chakula wala maji.
Tuesday, 9 June 2015
Mguu bandia wenye hisia wazinduliwa......!!!
June 09, 2015
No comments
Watafiti katika chuo kikuu nchini Ausralia,wamevumbua
mguu wa kwanza bandia duniani wenye uwezo wa kusisimua hisia halisi za
binadamu.
Watoto kunufaika na dawa mpya za ARV…
June 09, 2015
No comments
Bahari ni kubwa lakini ustahimili wake wa uchafuzi ni mdogo…
June 09, 2015
No comments
Licha ya kwamba eneo la bahari duniani ni kubwa,bado uwezo wake wa
kustahimili uchafuzi utokanao na shughuli za binadamu ni mdogo.
Sikiliza Antenna show ya Tar 5-6-2015 hapa with Kiwa Strong..
June 09, 2015
No comments
![]() |
| KIWA STRONG "KIWALE 11" |
Hapa chini nimekuwekea shoy ya Tar 5-6-2015 unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza play au kuidownload.
Mtandao wa kijeshi Marekani wadukuliwa...!!!!
June 09, 2015
No comments
Monday, 8 June 2015
UN:Eritrea imekiuka haki za binadamu............!!!!
June 08, 2015
No comments
Umoja wa Mataifa unasema kuwa serikali ya Eritrea inaendesha ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya watu wa nchi hiyo.
Nyuki abadili safari ya ndege...!!!
June 08, 2015
No comments
Abiria wa ndege moja ya shirika la ndege la
Flybe linalohudumu nchini Uingereza, walicheleweshwa kwa zaidi ya saa mbili
baada ya wahandisi wa ndege hiyo kubaini kuwa nyuki alikuwa amepenyeza na
kuingia ndani ya mitambo ya ndege hiyo na hivyo safari haingewezekana.
Friday, 5 June 2015
Marekani kuidhinisha 'Female Viagra'..!!!!
June 05, 2015
No comments
Data za wafanyakazi milioni 4 zadukuliwa Marekani….!!!
June 05, 2015
No comments
Serikali ya
Marekani imethibitisha habari ya kudukuliwa taarifa za karibu wafanyakazi
milioni nne wa serikali ya nchi hiyo.

























