This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Thursday, 14 May 2015

Kichanga cha siku tatu chatupwa……….



Mtoto mchanga wa kiume wa siku tatu katika mtaa wa Masanga Wilaya ya Igunga, ameokotwa akiwa amekatwa viungo vyake na watu wasiojulikana.

Breaking: Burundi watu wote ndani, Wanajeshi kwa Wanajeshi wanapambana.

Kutoka Bujumbura Burundi taarifa za sasa ni kwamba raia wameamriwa kutotoka nje, milio ya risasi inasikika, Wanajeshi watiifu wa Rais wanapambana na waliompindua.

SIKILIZA SHOW YA ANTENNA RADIO 5 YA TAR 13-5-2015

Show inakuwa hewani kila juma tatu mpaka ijumaa kuanzia saa kumi jioni mpaka kumi na mbili na nusu jioni,ndani ina vitu kibao habari mchanganyiko,matukio,burudani n.k
Nimekuwekea hapa chini show ya jana juma tano twene sawa.






Zijue faida za Papai kwa afya na pia kama Tiba pata nakala yako ya gazeti la TABIBU wiki hii likiwa limesheheni habari za afya kwa bei ya sh. 500/= tu
TFF ,CRDB tuwaweke kilingeni watupe majibu. Usikose gazeti la TABIBU wiki hii kuna habari za kusisimua za michezo na burudani.


Wednesday, 13 May 2015

Kiungo PSG akiri kuwa mwanamke..!!!!

UKISTAAJABU Musa, utayaona ya Filauni! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo wa kimataifa wa Italia, anayekipiga Paris Saint-Germain (PSG), Marco Verratti kukiri kuwa yeye ni mwanamke.

Mkenya kunyongwa China…………..!



Mwanadada mwenye umri wa miaka 26 huenda akanyongwa baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa ya kulevya nchini china ambapo Mkenya huyu Floviance Owino,

Tuesday, 12 May 2015

Hiki ndicho kinachovutia mbu kumuuma binadamu..!!

Ukitaja  mbu, wazo litakalomjia mtu kwa haraka ni ugonjwa wa malaria.

Monday, 11 May 2015

Sheria ya makosa ya mitandao tayari imesainiwa na Rais…!!!!



Rais Jakaya Kikwete tayari ameshasaini sheria yenye utata ya makosa ya mtandao na muda wowote kuanzia sasa itaanza kutumika rasmi.

Korea Kaskazini yazindua Silaha kali…

Serikali ya Korea Kusini inasema inaamini kuwa Korea Kaskazini,inaweza kumiliki nyambizi kadha za kufanya mashambulizi kutoka baharini ndani ya miaka mitano ijayo.

Ajabu lakini kwelii: Riport ya Gari Zilizotembea miezi 8 bila dereva..!!!!!


Teknolojia imeendelea kusababisha kuonekana kwa maajabu mbali mbali Dunia,yakiwemo ya mambo ambayo kwa kufikiria kwa wepesi kabisa utaona hayawezekani lakini Teknilojia imeyafanya yawezekane.

Hizi ndizo story zilizoko kwenye Headlines leo May 11 TZ:


JWTZ wanasubiri kupokea miili ya wanajeshi waliofariki DRC Congo, Waziri Mkuu Pinda atakabidhiwa ripoti ya maafa ya mvua Dar leo, Kafulila ameapa kuibua ishu ya ESCROW upya, anaituhumu Ikulu kuwasafisha watuhumiwa.

Wanasayansi watengeza mbegu za kiume!!!!!!

Seli za mbegu za kiume zimetengezwa katika maabara kwa mara ya kwanza na hivyo basi kuwapa matumaini wanaume wasio na uwezo wa kupata watoto.

Kanisa labadilishwa kuwa msikiti Itali..!!!!

Iceland imezua hisia kali wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya usanii katika mji wa Venice nchini Italy baada ya kulibadilisha kanisa ambalo lilikuwa halitumiki kuwa msikiti.

Pakua ngoma mpya ya Same Girls hapa.!!


Nimekuwekea hapa wimbo mpya wa Same Girls unakwenda kwa jina la More baby unaweza kuusikiliza ama kuupakua hapa chini onyesha saport yako kwa vijana hawa.

Thursday, 7 May 2015



Kwa bei ya sh.500/= utayajua magonjwa sugu 8 ambayo yanatibiwa kwa mbegu za tikiti maji, usikose nakala yako ya gazeti la Tabibu wiki hii.

 Katika michezo fahamu maisha ya Simon Msuva na mengine mengi.