This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Thursday, 9 February 2017

UBER KUTENGEZA MAGARI YANAYORUKA..

Muhandisi wa zamani wa shirika la maswala ya angani Nasa ameajiriwa na kampuni ya teksi Uber kusaidia katika utafiti wake wa kutengeza magari yanayoruka.

VIDEO: GWAJIMA AMJIBU MAKONDA ASEMAMA MUNGU ATAMSHUSHA.

Askofu Josephat Gwajima Alhamis hii amezijibu tuhuma za kujihusisha kwenye biashara ya madawa ya kulevya baada ya kutajwa kwenye orodha ya pili ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Alikuwa akizungumza mbele ya waumini na waandishi wa habari, kanisani kwake,tizama videi hapo chini kile alichokisema.

VIDEO: KIKONGWE WA MIAKA 109 AKIELEZA SIRI KUHUSU MAISHA YAKE.


FULL VIDEO: JINSI MANJI ALIVYOMJIBU RC PAUL MAKONDA DSM

Tizama video hapo chini kile alichokizungumza Yusuph manji, mara baada ya kutajwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kama mmoja wa wale anaowahitaji kituo cha polisi kwa mahojiano  juu ya sakata la dawa za kulevya nchini.

HAYA NDIYO MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU RAIS MPYA WA SOMALIA..

Rais mpya wa Somalia Mohamed Abdullahi Mohammed anaitwa jina la utani Farmajo aina ya chakula cha Kitaliano cha Jibini

LEMA AZIDI KUKWAMA GEREZANI..

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, imetupa pingamizi la mawakili wa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema la kuitaka isisikilize kesi ya kuhamasisha maandamano ya Ukuta, bali kwanza ifikishwe Mahakama ya Katiba.

WAFUASI 11 WA AL-QAEDA WAUAWA, YUPO MSHIRIKA WA OSAMA..

Wizara ya ulinzi nchini Marekani imesema Wanajeshi wa nchi hiyo wamewaua takribani wafuasi 11 wa mtandao wa kigaidi wa Al-Qaeda kupitia mashambulio mawili ya kutoka angani karibu na mji wa Idlib nchini Syria mwezi huu.

FULL VIDEO: ZIARA YA KUSTUKIZA YA RAIS MAGUFULI AIRPORT DSM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, February 08 2017 amefanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa ujenzi wa jengo jipya la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam  Terminal 3.
Tizama  video hapa chini ina taarifa kamili

BUNGE LAWAITA MAKONDA, MNYETI KUJIELEA..

Bunge limepitisha kwa kauli moja, azimio la kuitwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul  Makonda na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Alexander Mnyeti ili kuhojiwa na Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge.

TUNDU LISSU AGOMA KULA, ADAI MPAKA AFIKISHWE MAHAKAMANI..

Wakati Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu akigoma kula hadi afikishwe mahakamani, wakili wake amepeleka maombi Mahakama Kuu kuomba apewe dhamana baada ya polisi kuendelea kumshikilia kwa siku ya tatu.

Wednesday, 8 February 2017

MHUBIRI AWAPA WAUMINI DAWA YA KUUA PANYA AFRIKA KUSINI

Mhubiri mmoja nchini Afrika Kusini amekuwa akiwapa waumia sumu ya kuua panya kama moja ya njia ya kujaribu imani yao.

VIDEO: SIRRO AELEZA HATMA YA WEMA SEPETU

Wema Sepetu bado anaendelea kushikiliwa na polisi jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za dawa za kulevya ambapo jana baadhi ya watuhumiwa wenzake walifikishwa mahakamani

VIDEO: MBOWE, GWAJIMA, IDD AZAN, MANJI WATAJWA KWENYE ORODHA YA PILI YA MAKONDA..

Mbunge wa Hai Freeman Aikaely Mbowe, mfanyabiashara mkubwa nchini, Yusuf Manji na Mchungaji Josephat Gwajima wametajwa kwenye orodha ya pili ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ya watu mashuhuri wanaohusishwa kwenye biashara ya madawa ya kulevya.

Tuesday, 7 February 2017

WATUHUMIWA DAWA ZA KULEVYA WAFIKISHWA MAHAKAMANI..

Takriban watuhumiwa 10 wa dawa za kulevya ambao ni miongoni mwa watu waliotajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu asubuhi hii.

Monday, 6 February 2017

MTI MREFU ZAIDI AFRIKA WAGUNDULIWA TANZANIA…

Mti mrefu Afrika wagunduliwa katika mlima Kilimanjaro nchini Tanzania

Wanasayansi wanasema kuwa wamegundua kile wanaamini kuwa ni mti mrefu zaidi barani Afrika. Mti huo uko bonde moja lililo Kaskazini Mashariki mwa Tanzania.