This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Thursday, 28 July 2016

TANZANIA KINARA WA SOKO LA SIMU AFRIKA…

Ripoti ya mwaka 2016 ya Uchumi wa Simu za Mikononi Afrika inasema kuwa...

Friday, 22 July 2016

2016 WAELEKEA KUWA MWAKA WENYE JOTO KALI KUWAHI KUREKODIWA..!

Mwaka huu wa 2016 huenda ukawa ndio wenye joto kali zaidi kuwahi kurekodiwa, kufuatia hali ya jo...

PANYA SASA KUTUMIA UZAZI WA MPANGO…!

Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), kimepata suluhisho la kupunguza kuzaliana panya nchini kw...

Thursday, 14 July 2016

VIDEO: ROMA FT JOSE MTAMBO & DARASA

Roma karudi tena kwenye luninga yako na hii video mpya ‘kaa tayari‘ngoma imesukwa pale Tongwe Record. Tizama video hapo chini ...

UTAFITI:UNENE UNAUA MAPEMA…!!

  Utafiti wa kimataifa umegundua kuwa kunenepa kunahusiana moja kwa moja na visa vya watu kufa...

Wednesday, 13 July 2016

UNYONYAJI KIDOLE UNAFAIDA KWA WATOTO- UTAFITI

Ripoti mpya inasema watoto wanaonyonya vidole au kung'ata kucha zao kwa meno huenda wasipat...

NEW JOINT:KAA TAYARI-ROMA FT JOSE MTAMBO & DARASA

Ngoma mpya ya Roma Mkatoliki amewashirikisha Jos Mtambo na Darassa,Imetayarishwa na J-Ryder katika studio za Tongwe. Unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza kitufe cha Play hapo chini....

UNENE WA KUPITA KIASI……!

Utafiti wa mmoja kiafya duniani umeonyesha ongezeko la asilimia 82 la watu wanene kupit...

Tuesday, 12 July 2016

HII NDIO NCHI INAYOONGOZA KWA WATU WAKE KUWA NA HIV..!

Marekani imeiahidi Afrika Kusini msaada wa dola milioni 410, katika vita dhidi ya ugonjwa ...

MUSEVENI ASIMAMISHA MSAFARA WAKE KUPOKEA SIMU…!!

Rais wa Uganda bwana Yoweri Kaguta Museveni, amezua kihoja katika kijiji kimoja karibu na...

Monday, 11 July 2016

MAMIA KUPIGWA PICHA ZA UTUPU UINGEREZA

Mamia ya watu watavua nguo zao na kupigwa picha wakiwa tupu kusherehekea utamaduni katika mji wa Hull, Uingereza. Tukio hilo litakuwa la kusherehekea mji huo kama Mji wa Utamaduni. Washiriki watapakwa rangi ya samawati Jumamosi na kisha wapigwe picha wakiwa katika maeneo mashuhuri jijini humo kama sehemu ya mradi uliopewa jina Sea of Hull. Mradi huo unatekelezwa na mpiga picha Spencer Tunick na unadhaminiwa na taasisi ya Sanaa ya Ferens Art...

Tuesday, 5 July 2016

MJI WA MADINA WASHAMBULIWA…!!

Mshambuliaji mmoja wa kujitoa mhanga, amejilipua katikati ya Jiji la Media jirani na Msikiti wa Mtume. Jiji la Medina ni miongoni mwa miji mitakatifu, kwa mujibu wa Imani za dini ya Kiislamu. Kituo cha Televisheni cha Arabiya kimesema kuwa, mlipuaji huyo alitekeleza unyama huo wakati maofisa wa usalama wakifuturu. Habari kutoka mjini humo zimesema kuwa, maofisa wawili wameuawa lakini hakuna taarifa rasmi ya kiserikali iliyotolewa hadi...

WAZIRI MKUU APIGA MARUFUKU SHISHA NCHI NZIMA,HAYA HAPA MADHARA YAKE..!

Waziri mkuu Kassim Majaliwa, amepiga marufuku uvutaji wa shisha nchini, na kulitaka Jeshi la...

Monday, 4 July 2016

MAJAJI WAJINOA MAHAKAMA YA UFISADI…!!

Jaji Mkuu wa tanzania Mohamed Chande amesema kuwa, jopo la majaji linatarajiwa kuingia darasani ili kujifunza sheria mpya ya kuendesha kesi za ufisadi.  Kesi hizo zitakuwa zinaendeshwa katika Mahakama Kuu Kitengo cha Uhujumu Uchumi, na tayari majaji 14 wa wataanza kozi maalumu ya siku tano katika Chuo cha Sheria kilichopo Lushoto, Tanga.  Amesema hatua hiyo inakuja baada ya wiki iliyopita, Bunge kupitisha sheria ya uhujumu uchumi...

SOKO LA PANYA WA SUA LAONGEZEKA…!

Soko la panya waliogunduliwa na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wenye uwezo wa kuteg...