Tuesday 5 July 2016

MJI WA MADINA WASHAMBULIWA…!!

Mshambuliaji mmoja wa kujitoa mhanga, amejilipua katikati ya Jiji la Media jirani na Msikiti wa


Mtume.

Jiji la Medina ni miongoni mwa miji mitakatifu, kwa mujibu wa Imani za dini ya Kiislamu.
Kituo cha Televisheni cha Arabiya kimesema kuwa, mlipuaji huyo alitekeleza unyama huo wakati maofisa wa usalama wakifuturu.
Habari kutoka mjini humo zimesema kuwa, maofisa wawili wameuawa lakini hakuna taarifa rasmi ya kiserikali iliyotolewa hadi sasa.

Msikiti wa Mtume ndipo alipozikwa Mtume muhamad, na jiji hilo ni mji mtakatifu wa pili kwa Waislamu nyuma ya Macca.

0 comments:

Post a Comment