MAJALIWA: RAIS HAJATANGAZA KUFUTA VYAMA VYA UPINZANI
Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa amesema Rais Dkt. John Magufuli hajawahi kutangaza ama kutoa kauli ya
kufutwa kwa vyama vya siasa nchini.
Ameyasema hayo leo
Bungeni mjini Dodoma wakati akijibu swali la Kiongozi wa Kam…Read More
JPM AFANYA UTEUZI WA MKUU WA MAJESHI…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Luteni Jenerali Venance S. Mabeyo
kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania.
Pamoja na kuteuliwa kuwa Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi Tanzania Luteni Je…Read More
Rais wa Ukrain afanya mazungumzo ya simu na Trump
Rais wa Ukraine, Petro Poroshenko, amesema kuwa amekuwa na mazungumzo na Donald Trump, kuhusiana na hali ilivyo mashariki mwa nchi hiyo, mahali ambapo majeshi ya serikali yanakabiliana na waasi wanaoungwa mkono na Urusi.
…Read More
VIDEO: SIRRO AELEZA HATMA YA WEMA SEPETU
Wema Sepetu bado
anaendelea kushikiliwa na polisi jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za dawa za
kulevya ambapo jana baadhi ya watuhumiwa wenzake walifikishwa mahakamani
na
kuachiwa kwa dhamana. Leo February 8, 2017 Kamand…Read More
APANDISHWA KIZIMBANI KWA DAWA ZA KULEVYA..!
Mwanamke mmoja mkazi wa Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es Salaam,
Zena Hakika (32), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni
kwa tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya jana.
Wakili wa Serikali, Tumain…Read More
0 comments:
Post a Comment