This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Monday, 3 April 2017

MWANAMUME ATAMIA MAYAI YA KUKU….

Msanii kutoka Ufaransa Abraham Poincheval anaendelea kutamia mayai ya kuku akiwa na matumaini kwamba mwishowe yataangua vifaranga.

WATOTO WAZUIWA KWENDA SHULE KUHOFIA KUPATA MIMBA

Kutokana na tatizo la upungufu wa walimu katika Shule ya Msingi Mbalawala Manispaa ya Dodoma,

UTAFITI: MANYANYASO HUSABABISHA MTOTO KUPEVUKA MAPEMA

Wataalamu wa Saikolojia kutoka Chuo Kikuu cha Penn State Marekani, wamegundua jambo ambalo linawashangaza wengi katika swala la malezi kwa watoto.

Sunday, 2 April 2017

VIGOGO WALIOFICHA MALI KUPIGWA KITANZI.....

Hofu kubwa inazidi kutanda kwa baadhi ya vigogo na viongozi wa umma juu ya mpango mpya ulioanzishwa na Serikali wa kuhakiki mali zao.

WATU 20 WAUWAWA KWA KUNYWESHWA SUMU MADHABAHUNI PAKISTAN.

Takriban watu 20 wameuawa na wengine kujeruhwia kwenye madhababu yaliyo mji wa Sargoda, mkoa wa Punjab nchini Pakistan.

WATU 250 WAANGAMIA KWENYE MAPOROMOKO..

Mamlaka ya jeshi la Colombia inasema idadi ya waliofariki katika maporomoko ya ardhi nchini humo imefikia watu 250 huku waliojeruhiwa wakiwa 400.

Saturday, 1 April 2017

UTAFITI: UKIOGA KWA MAJI YA MOTO NI MAZOEZI TOSHA....

Watu wengi hupendelea kuoga kwa maji ya moto ili kuepusha maradhi ya kifua wakati wa msimu wa

IDADI YA WASIO NA CHAKULA DUNIANI YAONGEZEKA- RIPOTI

Ripoti mpya kuhusu hali ya janga la chakula duniani imesema idadi ya watu wasio na uhakika wa kupata chakula iliongezeka mwaka jana na kufikia watu milioni 108,

AFRIKA KUSINI YAPATA WAZIRI MPYA WA FEDHA...

Waziri wa Fedha mpya wa Afrika Kusini, Malusi Gigaba, amesema wakati umefika wa kubadilisha sana uchumi.

NEW VIDEO: BIBI CHEKA-NALIA

Msanii Bibi Cheka baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu huu ndio ujuo wake tena ameachia hii video mpya wimbo unaitwa “Nalia”, video imeongozwa na Josh.tizama video hapo chini.

PETER LIJUALIKALI ASIMULIA MATESO YA MAGEREZA…

Mbunge wa Jimbo la Kilombero (Chadema) Peter Lijualikali, amesema licha ya mateso makali aliyoyapata akiwa gerezani, amefurahia kifungo hicho kwani kimempa heshima kubwa huku akisema ni kama amepata shahada ya udaktari (Phd).

RAIS MAGUFULI ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA MSIBA WA MBUNGE ELLY MACHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kufuatia kifo cha mbunge wa viti Maalum, Bi Elly Macha kilichotokea Ijumaa hii nchini Uingereza alipokuwa akipatiwa matibabu.

RAIS MAGUFULI AIPASUA KICHWA TANESCO……

Ziara ya Waziri Mkuu wa Ethiopia hapa nchini imetoa changamoto kubwa kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano kuliagiza Shirika hilo kuweka mikakati madhubuti ya kuzalisha na kuuza umeme kwa bei nafuu.

CHINA YAPIGA MARUFUKU KUFUGA NDEVU..

Sheria mpya zitaanza kutekelezwa katika jimbo la magharibi mwa Uchina la Xinjiang, ambako utawala wa Beijing unaaendeleza kile wanachokisema ni kuzuia ueneaji wa itikadi kali.

MSUSI MWENYE UMRI WA MIAKA 93 ASTAAFU...

Msusi mmoja amestaafu baada ya kufanya kazi kwenye duka moja la urembo kwa miaka jumla ya 72.