Saturday, 1 April 2017

MSUSI MWENYE UMRI WA MIAKA 93 ASTAAFU...

Msusi mmoja amestaafu baada ya kufanya kazi kwenye duka moja la urembo kwa miaka jumla ya 72.

Kathleen Privett mwenye umri wa miaka 93, ameamua kufunga duka hilo lililo Drayton, Portsmouh, ambalo lilianzishwa na babaka mwaka 1945.
Bi Privett, anasema awakosa wateja ambao mara nyingi hufichua siri zao za kimaisha.
Baada ya kumpoteza mumeme akiwa na umri wa miaka 28, alichua usukani baada ya baba yake kufariki mwaka 1962.
Alifanya kazi na bintiye Barbara Ecana ambaye sasa ana umri wa miaka 70 ambaye naye ameemua kustaafu.

Bi Privett anasema kuwa amefanya kazi miaka hiyo yote kwa sababu alikuwa akiipenda kazi yake.

Related Posts:

  • ADAKWA AKIFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI MAABARA.. Mwalimu wa somo la Baiolojia katika shule ya sekondari ya wasichana ya St Therese mjini Lusaka ambaye alidakwa akifanya mapenzi na mwanafunzi katika maabara ya shule hiyo amesimamishwa kazi akisubiri hatua za kinidhamu dh… Read More
  • MBUNGE ANAYEMKOSOA ZUMA KULINDWA…. Mkosoaji mashuhuri wa rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, atapewa ulinzi wa polisi baada ya kupokea vitisho vya kuuliwa. Bunge na polisi walifanya uchunguzi na kubaini kuwa kuna vitisho vya kuuliwa dhidi ya Makhosi Khoza … Read More
  • RAILA: AWAOMBA WAFUASI WAKE KUTOSHIRIKI NGONO MKESHA WA UCHAGUZI… Mgombea wa urais katika muungano wa NASA nchini Kenya Raila Odinga amewataka wafuasi wake kutoshiriki tendo la ndoa mkesha wa siku ya uchaguzi. Bwana Odinga amefananisha uchaguzi huo na vita akisema kuwa kushiriki ngono… Read More
  • DAKTARI WA KUONGEZA MAUMBILE AUAWA, BRAZIL Mwanamke mmoja nchini Brazil ambaye alikuwa akijihusisha na uwekaji wa vifaa vya kukuza maumbile ya kike kinyume cha sheria amekufa katika shambulio lenye viashiria vya ulipizaji kisasi baada ya upasuaji ambao haukuzaa ma… Read More
  • MAMAKE ZARI HASSAN AAGA DUNIA….. Zari Hassan anaomboleza kifo cha mamake miezi miwili tu baada ya kumzika aliyekuwa mumewe Ivan Ssemwanga. Kulingana na gazeti la daily nation nchini Kenya. Mfanyibiashara huyo ambaye ni mke wa msanii wa bongo Diamond Pl… Read More

0 comments:

Post a Comment