Sunday, 2 April 2017

VIGOGO WALIOFICHA MALI KUPIGWA KITANZI.....

Hofu kubwa inazidi kutanda kwa baadhi ya vigogo na viongozi wa umma juu ya mpango mpya ulioanzishwa na Serikali wa kuhakiki mali zao.

Aidha, hofu hiyo inatokana na uwekaji wa mfumo mpya Serikalini wa kufuatilia taarifa za kweli za mali za viongozi wa umma na kutunzwa vizuri kupitia mifumo ya kielektroniki.
Utekelezaji wa mpango huo wa uboreshaji wa taarifa za mali za viongozi wa umma, ndio unaowapa hofu viongozi na vigogo hao kwa sababu unawaweka katika wakati mgumu wale wenye tabia ya kuficha ukweli kuhusu mali wanazomiliki.

Hivi karibuni Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma  inayojihusisha na utunzaji wa na ufuatiliaji juu ya taarifa zinazowasilishwa na na viongozi wa umma, imeunda  mfumo wa kielektroniki wa menejimenti ya taarifa za kimaadili.

Hata hivyo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Angella Kairuki amesema kuwa mfumo huo mpya utarahisisha upatikanaji wa taarifa bora  na kwa wakati

Related Posts:

  • MJI WA MADINA WASHAMBULIWA…!! Mshambuliaji mmoja wa kujitoa mhanga, amejilipua katikati ya Jiji la Media jirani na Msikiti wa Mtume. Jiji la Medina ni miongoni mwa miji mitakatifu, kwa mujibu wa Imani za dini ya Kiislamu. Kituo cha Televisheni… Read More
  • UNENE WA KUPITA KIASI……! Utafiti wa mmoja kiafya duniani umeonyesha ongezeko la asilimia 82 la watu wanene kupita kiasi kati ya mwaka wa 1990 na 2010, likasema jarida la tiba la Uingereza, ‘The Lancet’, Volume 387, la Aprili 2, 2016 Vifo v… Read More
  • MUSEVENI ASIMAMISHA MSAFARA WAKE KUPOKEA SIMU…!! Rais wa Uganda bwana Yoweri Kaguta Museveni, amezua kihoja katika kijiji kimoja karibu na mpaka wa Uganda na Tanzania aliposimamisha msafara wake wa magari iliapokee simu faraghani. Amini usiamini Rais Yoweri Museveni a… Read More
  • MAMIA KUPIGWA PICHA ZA UTUPU UINGEREZA Mamia ya watu watavua nguo zao na kupigwa picha wakiwa tupu kusherehekea utamaduni katika mji wa Hull, Uingereza. Tukio hilo litakuwa la kusherehekea mji huo kama Mji wa Utamaduni. Washiriki watapakwa rangi ya samawati … Read More
  • HII NDIO NCHI INAYOONGOZA KWA WATU WAKE KUWA NA HIV..! Marekani imeiahidi Afrika Kusini msaada wa dola milioni 410, katika vita dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi. Afrika Kusini ina idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na virusi vya HIV duniani. Msaada huo wa Marekani utasaidia kati… Read More

0 comments:

Post a Comment