Sunday 23 April 2017

HUYU ANASHIKILIA REKODI YA DUNIA KWA KUTANUA MDOMO WAKE….



F
Francisco Domingo kutoka Angola ndie mwanadamu anaeshikilia rekodi ya kuwa na uwezo wa kutanua mdomo wake hadi kufikia upana wa inchi 6.69.

Ameshikilia rekodi hii tangu mwaka 2010 hadi sasa hakuna mwanadamu mwingine aliyefanikiwa kuvunja rekodi yake. 

Domingo amejikuta akiweza kutanua kinywa chake kwa ukubwa huo kutokana na matatizo ya kiafya aliyonayo.

0 comments:

Post a Comment