This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Sunday, 30 April 2017

RAIS DONALD TRUMP AADHIMISHA SIKU 100 KWA KUSHAMBULIA WANAHABARI

Rais wa Marekani Donald Trump ameadhimisha siku mia moja uongozini kwa kutoa hotuba ya kushambulia wanahabari na kutetea mafanikio yake.

UTAFITI: KERENGENDE WA KIKE ''HUJIUWA'' ILI KUKWEPA TENDO LA NGONO..

Utafiti mpya umebaini kwamba kerengende wa kike huwa anajifanya kuwa amekufa ili kukwepa wenzao wa kiume.

MANUWARI ZA CHINA ZAWASILI UFILIPINO..

Manuwari za Uchina zimewasili Ufilipino kwa mara ya kwanza baada ya miaka saba huku Ufilipino ikiimarisha uhusiano wake na Uchina.

Tuesday, 25 April 2017

VIDEO: MELI YA KIJESHI YA MAREKANI YAWASILI KOREA KUSINI

Hali ya wasiwasi imeendelea kutanda kutokana na majibizano makali na vitisho kati ya Marekani na Korea Kaskazini, ambapo meli ya jeshi la Marekani (USS Michigan) imewasili katika Korea Kusini huku hofu ikiongezeka zaidi kuhusu uwezekano wa Korea Kaskazini kufanya jaribio jingine la kombora au silaha za nyuklia.

Sunday, 23 April 2017

UFARANSA NAMCHAGUA RAIS MPYA..

 
Raia wa Ufaransa wanapiga kura ya urais hivi leo.
Kwa mara ya kwanza baada ya miongo kadhaa , huu umekuwa uchaguzi usiotabirika.

MWANDISHI MAARUFU KUKI GALLMANN APIGWA RISASI NA KUJERUHIWA KENYA

Watu waliojihami na bunduki wamempiga risasi na kumjeruhi mwanamazingira na mwandishi mzoefu mzaliwa wa Italia, Kuki Gallmann.

HUYU ANASHIKILIA REKODI YA DUNIA KWA KUTANUA MDOMO WAKE….



F
Francisco Domingo kutoka Angola ndie mwanadamu anaeshikilia rekodi ya kuwa na uwezo wa kutanua mdomo wake hadi kufikia upana wa inchi 6.69.

Ameshikilia rekodi hii tangu mwaka 2010 hadi sasa hakuna mwanadamu mwingine aliyefanikiwa kuvunja rekodi yake. 

Domingo amejikuta akiweza kutanua kinywa chake kwa ukubwa huo kutokana na matatizo ya kiafya aliyonayo.

Thursday, 13 April 2017

AKAMATWA KWA KUMTALIKI MKEWE KUPITIA KADI YA POSTA.




Mwanamume wa kihindi alikamatwa kwa madai ya unyanyasaji na udanganyifu katika ndoa baada ya kumpa talaka mke wake kwa kumtumia ujumbe kwenye kadi ya posta.

VIDEO: NEC YATOA UFAFANUZI WA HATMA YA NAFASI ILIYOACHWA NA SOPHIA SIMBA



 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeutaarifu Umma juu ya kuendelea na taratibu za kujaza nafasi

OMBI LA KUTAKA KUHALALISHA BANGI KENYA LAUNGWA MKONO



 
Zaidi ya Wakenya 1,400 wanaunga mkono ombi la kutaka kuidhinishwa kwa matumizi ya mmea wa bangi baada anayewasilisha hoja hiyo kuwawasilisha ombi lake mbele ya bunge la seneti.

Monday, 10 April 2017

MWANAMUZIKI AJITOSA BAHARINI KUKWEPA KULIPA BILI YA CHAKULA.


Mwanamume mmoja raia wa Australia ambaye alikuwa na bili kubwa ya kulipa baada ya kupata mlo kwenye mkahawa mmoja aliruka na kuingia baharini ili kukwepa kulipa bili hiyo.

Sunday, 9 April 2017

UNYEVU UMEGUNDULIWA NA WANASAYANSI KATIKA SAYARI ILIO SAWA NA DUNIA..

Wanasayansi wanasema kwa mara ya kwanza wamegundua kuna unyevu unaoizunguka sayari ilio kama dunia.

MBARONI KWA KWA UBAKAJI…

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Samweli Masumbuko (32), Mkazi wa Kata ya Mahina wilayani Nyamagana, kwa tuhuma za kumbaka  mwanafunzi wa darasa la pili (jina linahifadhiwa) mwenye

MBOWE NA MDEE WASEMA WALICHOHOJIWA KWA SAA MBILI.

Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), jana wamehojiwa na Kamati ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge kwa muda wa saa mbili – saa moja kila mmoja.

VIDEO: HAYA NDIYO MANENO YA ROMA BAADA YA KUPATIKANA.


Msanii wa muziki wa hip hop Roma Mkatoliki, Moni pamoja na wenzao 2 wameachiwa na jeshi la polisi baada ya kuhojiwa na kufanyiwa vipimo.