This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Thursday, 31 March 2016

DARAJA LAPOROMOKA NA KUWAUA 10 INDIA…

Takriban watu 10 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa, baada ya daraja moja la juu lililokuwa likijengwa kuporomoka, kwenye mji wa mashariki mwa India wa Kolkata

SERIKALI KUNUNUA NDEGE MBILI, MELI….

Serikali imepanga kununua ndege mbili mpya na meli moja kwa ajili ya Ziwa Victoria katika siku chache zijazo, imefahamika.

Wednesday, 30 March 2016

WHO: EBOLA SIO TISHIO TENA KWA DUNIA…

Shirika la Afya Duniani WHO limesema kuwa, maambukizi mapya ya ugonjwa wa Ebola Afrika Magharibi sio tena kitisho cha dunia.

AJALI YA NDEGE YAWAUA WATU 7 CANADA…

Watu saba wamefariki baada ya ndege moja ya kibinafsi kuanguka, katika kisiwa cha mashariki ya pwani ya Quebek.

Tuesday, 29 March 2016

UCHAGUZI WA ZANZIBAR WAIKOSESHA HELA TANZANIA…

Shirika la ufadhili la serikali ya Marekani, limesitisha msaada wake kwa serikali ya Tanzania

NDEGE YA MISRI ILIYOTEKWA YATUA CYPRUS….

Ndege iliotekwa nyara imetua katika uwanja wa ndege wa Larnaca nchini Cyprus.

DAKTARI APIGWA NA NDUGU WA MGONJWA……

Madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Rufani Mkoa wa Mtwara Ligula, wamegoma kutoa huduma baada ya mwenzao kudaiwa kupigwa na ndugu wa mgonjwa hadi kuvuliwa nguo.

Monday, 28 March 2016

SHERIA YARUHUSU WANAOWAKASHIFU WAUME ZAO KUPEWA TALAKA..

Mahakama katika mji mkuu wa India imeamua kwamba ni kosa, kwa mke kumuita mumewe Tembo na kosa hilo linaweza kuwa sababu ya kupewa talaka.

Wednesday, 23 March 2016

WANASAYANSI: POVU LA CHURA TIBA YA VIDONDA…

Povu linalotengenezwa na vyura wadogo kwa ajili ya kulinda mayai yao, linaweza kuponya majeraha ya wagonjwa walioungua wamesema wanasayansi.

MJAMZITO AJIFUNGULIA MTOTO CHOONI…....

Msichana wa umri wa miaka 17 ambaye alikuwa katika machungu ya uzazi, amejikuta akijifungulia

MKUU WA JESHI AUAWA KAMBINI..

Afisa mmoja muandamizi wa jeshi la Burundi, ameuwawa ndani ya makao makuu ya jeshi la Burundi.

DUBAI: SHISHA NI MARUFUKU KWA WAJA WAZITO…

Dubai imepiga marufuku wanawake waja wazito, kuvuta ama hata kuingia katika migahawa inayouza Shisha.

Tuesday, 22 March 2016

MILIPUKO YATOKEA UWANJA WA NDEGE BRUSSELS…

Moshi umeonekana ukitoka kwenye moja ya majumba katika uwanja huo
Milipuko miwili imetokea katika uwanja wa ndege wa Zaventem mjini Brussels.Moshi umeonekana ukitanda angani kutoka kwa moja ya majengo katika uwanja huo.

HUYU NI PAKA MWIZI WA NGUO ZA NDANI ZA WANAUME…!!

Paka mmoja mwizi wakati wa usiku, amekuwa akiiba soksi pamoja na nguo za ndani nchini New Zealand.

Monday, 21 March 2016

DR SHEIN ATANGAZWA MSHINDI WA URAIS ZANZIBAR…

Uchaguzi wa marudio Zanzibar jana, ulifanyika katika hali ya utulivu tofauti na baadhi ya watu walivyokuwa wakifikiria.