This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Thursday, 2 February 2017

JE WAJUA KWANINI KILA UNACHOKIONJA BAADA YA KUPIGA MSWAKI HUWA NA LADHA MBAYA..

Toka ukiwa mdogo mpaka unazeeka umekuwa ukijiuliza kwanini kila kitu unachokula au kukionja huwa kinakuwa na ladha mbaya mara tu baada ya kusafisha kinywa chako kwa kutumia mswaki ulioweka dawa ya meno.

WEMA ATAJWA KUHUSIKA NA DAWA ZA KULEVYA..!

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ametajwa kuwa ni kati ya wasanii ambao wanatumia dawa za kulevya hivyo anapaswa kesho kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Paul Makonda katika kituo cha polisi.

BEYONCE ATARAJIA KUJIFUNGUA MAPACHA…

Picha ya Instagram ya Beyonce
Chini ya wiki mbili tangu Donald Trump aapiswhe kuwa rais wa Marekani, taarifa kuu kutoka Marekani tangu wakati huo zimehusiana na siasa.

ALIYEKUWA MFUNGWA NDIO WAZIRI WA FEDHA GAMBIA…

Rais Adama Barrow wa Gambia
Miongoni mwa wafungwa walioachiliwa huru hivi karibuni nchini Gambia, ni miongoni mwa watakaounda baraza jipya la mawaziri chini ya utawala wa raisi wa sasa Adama Barrow.

KIONGOZI WA UPINZANI DRC AFARIKI DUNIA.

Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Etienne Tshisekedi, amefariki dunia mjini Brussels nchini Ubelgiji akiwa na umri wa miaka 84.

Wednesday, 1 February 2017

FAHAMU MADHARA YA MATUMIZI YASIYO SAHIHI YA ANTIBIOTICS…

Vijisumu (antibiotics) ni mojawapo ya dawa muhimu zinazotumika mara kwa mara katika kutibu magonjwa mbalimbali yatokanayo na vimelea.

PADRI AOMBA SERIKALI IPIGE MARUFUKU VIROBA..

Serikali imeombwa kupiga marufuku pombe kali zinazohifadhiwa kwenye karatasi maarufu kama ‘viroba’ ili kuwanusuru vijana wengi wanaoathirika na kujiingiza katika ulevi wa pombe hizo.

MPANGO ATAJA KINACHOKWAMISHA UKUAJI WA UCHUMI…..

Serikali imesema matokeo ya ukuaji wa pato la taifa kwa mwaka 2016 yalitarajiwa kuwa 7.2% lakini kwa uchambuzi uliofanywa na serikali kwa kushirikiana na shirika la fedha duniani IMF unaonesha kuwa ukuaji wa uchumi uliotegemewa unaweza usifikiwe.

BUNGE LAPITISHA MSWADA WA SHERIA YA MSAADA WA KISHERIA 2016…

Bunge la jamhuri ya muungano wa TANZANIA limepitisha muswada wa sheria ya msaada wa kisheria.

NG'OMBE 150 KUCHINJWA SHEREHE YA MUGABE..

Chama kinachotawala nchini Zimbawe Zanu-PF, kimeanza kuchangisha pesa kwa sherehe za siku ya kuzaliwa ya Rais Robert Mugabe ambaye anahitimiza miaka 93.

MAANDAMANO DHIDI YA TRUMP YAPAMBA MOTO…

Maelfu ya watu pasina kujali dini na rangi zao wameshadidisha maandamano katika kona mbali mbali za Marekani, kulaani sheria tata ya ubaguzi iliyopasishwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo hivi karibuni.

EWURA YAPANDISHA BEI YA MAFUTA...

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imepandisha bei za mafuta ya aina zote kuanzia leo isipokuwa Mkoa wa Tanga pekee.

EU: DONALD TRUMP NI TISHIO KWA ULAYA…

Rais wa Baraza la muungano wa Ulaya Donald Tusk ameonya kwamba maamuzi ya kutia wasiwasi yanayofanywa na Donad Trump ni miongoni mwa chanagmoto zinazokumba muungano huo.

SERIKALI: UZALISHAJI WA CHAKULA UTAFIKIA TANI MILIONI 3

Serikali imefanya tathmini ya awali ya uzalishaji wa mazao ya chakula nchini na kubaini kuwa uzalishaji wa chakula nchini utakuwa na ziada ya tani 3,013,515.

MVUA YALETA MAAFA WILAYANI MPWAPWA…

Watu wanne wakiwamo watatu wa familia moja ambao ni wakazi wa Kijiji cha Isighu kitongoji cha Majumba Sita wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wamekufa maji baada ya makazi yao kusombwa na mvua iliyo nyesha usiku wa kuamkia Januari 31.