Wednesday, 7 March 2018

MHUBIRI AWAVUTIA WAUMINI KWA KUTEMBEA HEWANI....

Mhubiri mmoja nchini Malawi amewavutia  waumini wake kwa kudaiwa kuwa anatembea hewani, kuponya walioathirika na ukimwi, kuponya vipofu na kuwaombea masikini kuwa matajiri.

Mchungaji, Shepherd Bushiri alizaliwa na kulelewa mjini Mzuzu kaskazini mwa Malawi ambapo siku za hivi karibuni ameripotiwa kutembea hewani.

Aidha, mchungaji huyo wa Kanisa la Enlightened Christian Gathering (ECG). amekuwa kivutio kikubwa kwa waumini wake kwa kufanya miujiza mbalimbali.


Hata hivyo, mchungaji huyo anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 30 na zaidi, anatuhumiwa na watu mbalimbali wakimuita msanii na mhubiri bandia, lakini amekua akizipuuza tuhuma hizo.

Related Posts:

  • ASILIMIA KUBWA YA WANAUME HAWANA NGUVU ZA KIUME…. Utafiti wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) umebaini kuwa asilimia 33 ya wanaume 672 mkoani Dar  es salaam wamebainika kuwa na upungufu wa nguvu za kiume. Hayo yamezungumzwa na Daktari bingwa wa magonjwa ya… Read More
  • VIDEO: JOH MAKINI FT DAVIDO-KATA LETA Rapa kutoka kundi la Weusi, Joh Makini amekuja na video yake mpya iitwayo Kata Leta ambayo amemshirikisha Staa kutoka Nigeria, Davido. Tazama video yenyewe hapa chini. … Read More
  • NYAMA IKAE SAA NANE KABLA YA KUPIKWA............. Nyama nyekundu ni kitoweo kitokanacho na wanyama. Mbali na wanyama wa porini, watu wengi hupata nyama hiyo kutokana na kuchinja wanyama wafugawao kama ng’ombe, mbuzi, kondoo na ngamia. Nyama nyekundu hutakiwa kuandaliwa… Read More
  • MAMAKE ZARI HASSAN AAGA DUNIA….. Zari Hassan anaomboleza kifo cha mamake miezi miwili tu baada ya kumzika aliyekuwa mumewe Ivan Ssemwanga. Kulingana na gazeti la daily nation nchini Kenya. Mfanyibiashara huyo ambaye ni mke wa msanii wa bongo Diamond Pl… Read More
  • ADAKWA AKIFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI MAABARA.. Mwalimu wa somo la Baiolojia katika shule ya sekondari ya wasichana ya St Therese mjini Lusaka ambaye alidakwa akifanya mapenzi na mwanafunzi katika maabara ya shule hiyo amesimamishwa kazi akisubiri hatua za kinidhamu dh… Read More

0 comments:

Post a Comment