This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Wednesday, 30 September 2015

Madaktari wapata idhini ya kupandikiza tumbo la Uzazi…

Mtoto wa kwanza kuzaliwa baada ya mamake kupandikizwa tumbo la uzazi
Madaktari nchini Uingereza, wamepata idhini ya kupandikiza tumbo la uzazi la wanawake kwa mara ya kwanza.


Usikose kusoma gazeti lako pendwa la afya TABIBU kesho alhamisi kwa bei ya sh. 500/= tu.
                                                             TABIBU michezo wiki hii.!!


Tuesday, 29 September 2015

Ng’ombe wawekwa ‘reflector’ Zimbabwe…

Wakazi wa wilaya moja nchini Zimbabwe, wamevumbua njia ya kuzuia ajali za barabarani zinazohusisha ng’ombe wanaoranda randa.

Kondomu yenye umbo la ch**p Uganda….

Kuna aina mpya kondomu ya wanawake ambayo inapigiwa upatu na shirika moja nchini Uganda.
Kondomu hii inaumbo la suruali ya ndani ya wanawake.

Maji yagundulika katika sayari Mars…………

Wanasayansi wametangaza kuwa kuna ushahidi wa kuaminika kuwa,kuna maji katika sayari ya Mars na hivyo kuibua matumaini kuwa kuna uwezekano wa viumbe kuishi katika sayari hiyo.

Friday, 25 September 2015

WHO yasema watu wengi Ulaya ni wanene……



Watu wengi Ulaya ni wanene kupita kiasi, kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO).

Thursday, 24 September 2015

Roma afunguka kuhusu Ngoma yake mpya na vitisho anavyopata....

Anafahamika kama Roma Mkatoliki Msanii wa Hip Hop,ngoma yake mpya ya Vivaa Roma vivaa imekuwa gumzo kubwa mtaani kwa sasa,na hii ni kutokana na kuzungumza vitu vizito kwa uwazi mkubwa.
Kiwale11.blogspot.com imepiga story na ROMA na amefunguka mambo mengi kuhusu wimbo wake huo, sikiliza mahojia hayo hapa chini kwa kubonyeza Play.

Upinzani wavalia sare za wanafunzi Kenya………

Wabunge na maseneta walivalia mavazi yanayofanana na sare za wanafunzi
Baadhi ya viongozi wa upinzani nchini Kenya wamevalia mavazi yanayofanana na sare za wanafunzi wakiitaka serikali kulipa walimu nyongeza ya mishahara.

Wednesday, 23 September 2015


Usikose kusoma nakala yako ya gazeti la TABIBU kesho alhamisi kwa bei ya sh 500/= tu.!!
                                                       TABIBU michezo wiki hii.!!

Dawa ya kupunguza makali ya HIV yapanda kwa 5000%...

Kampuni moja ya kutengeza madawa imelazimika kujitetea vikali baada ya kupandisha gharama ya dawa ya kupunguza makali ya Ukimwi kwa asilimia elfu 5.

Tuesday, 22 September 2015

Azikwa akiwa hai India………

Mtu mmoja nchini India amefariki, baada ya wafanyikazi wa ujenzi ambao hawakumuona katika shimo kumzika akiwa hai.

Monday, 21 September 2015

Maoni ya facebook yamtia mashakani…….

Mahakama ya Singapore imemuhukumu muuguzi mmoja kutoka nchini Ufilipino kifungo cha miezi minne kwa kuchapisha maoni ya uchochezi kuhusu taifa hilo.

Mali ya serikali ya Zimbabwe yapigwa mnada.

Nyumba inayomilikiwa na serikali ya Zimbabwe imeuzwa $280,000 (£180,000) kupitia mnada Afrika Kusini.

Magari ya Volkswagen yachafua mazingira…

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya magari ya Volkswagen, ameomba msamaha baada ya wasanifu nchini Marekani kusema baadhi ya magari yake yamekuwa yakichafua mazingira.

'Game of Thrones' yashinda tuzo za Emmy

Tuzo za Emmy
Tamasha kubwa la kila mwaka Emmys Awards, la kutoa tuzo kwa vipindi vya televisheni limefanyika mjini Los Angeles Marekani.

Panya wahangaisha ‘jela ya Mandela’

Mandela alihamishiwa gereza la Pollsmoor kutoka Robben Island 1982
Watu karibu elfu 4 wameondolewa kutoka jela ya Pollsmoor nchini Afrika Kusini,baada ya panya wengi kuvamia gereza hilo na kusababisha kifo cha mfungwa mmoja.

Thursday, 17 September 2015

Usikose kusoma gazeti lako la TABIBU leo alhamisi kwa bei ya sh. 500/=
                                                                 TABIBU michezo wiki hii.!!


Wednesday, 9 September 2015

NEW HIT ROMA MKATOLIKI-VIVA ROMA VIA.


Hii ndio Miji yenye gharama zaidi kuishi duniani....



Usikose nakala yako ya gazeti la TABIBU kesho alhamisi kwa bei ya sh. 500/= tu.


Tuesday, 8 September 2015

Papa Francis kurahisisha sheria ya talaka………

Papa Francis anatarajia kurahisisha taratibu zinazoruhusu wafuasi wa kanisa katoliki waliooana kutoa talaka na kuolewa tena huku wakibakia kuwa wafuasi wa katika kanisa hilo.

Je umeambukizwa Nomophobia..? Soma utafiti

Utafiti wa hivi karibuni uliowachunguza wanafunzi 1000 Korea Kusini, umebaini kuwa asilimia 72 ya watoto wanapata simu wakifikia umri wa miaka 11 au 12.

Vifo vinavyotokana na nyoka kuongezeka….?

Shirika la kimataifa la misaada Medecins Sans Frontieres,limeonya kwamba vifo vitokanavyo na kuumwa na nyoka huenda vikaongezeka.
Hali hii inasababishwa na kuisha kwa akiba za dawa inayotibu sumu ya nyoka.

Inadhaniwa kwamba watu laki moja huuawa na nyoka kila mwaka.

Monday, 7 September 2015

Utafiti kuchunguza jinsi mtu anavyozeeka……

Vipimo mbalimbali pia huchukuliwa
Wanasayansi mjini London wamegundua utafiti mpya,wa kuchunguza utaratibu wa jinsi 
mtu anavyo zeeka.
Unaangalia tabia ya zaidi mamia ya vinasaba vya damu, ubongo na seli za misuli.
Wanasayansi hao wameambatanaisha matokeo ya watu wenye afya nzuri walio na umri wa miaka 63 na zile za vijana, kutengeneza mpagilio wa kufuatilia ili kuweza kuzeeka kwa afya zaidi.
Wanasayansi hao pia wamegundua katika baadhi ya kesi, watu huzeeka kwa zaidi ya miaka 15 na umri wao halisi.
Wanasema urafiti huo utasiaidia kugundua watu walio kwenye hatari ya kupata magonjwa.


Friday, 4 September 2015

Rais wa Nigeria atangaza mali zake…

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ametangaza kuwa ana $150,000 (£100,000) kwenye akaunti zake za benki, katika hatua inayolenga kupiga vita ufisadi katika nchi yake.

Mamilionea wengi wanapatikana Africa kusini.....

Mji wa JonannesburgMji wa Johannesburg nchini Afrika Kusini, ndio mji ulio na idadi kubwa zaidi ya watu tajiri barani Afrika.

Wednesday, 2 September 2015

Marekani na Viwanda bandia vya dawa…

Mamlaka nchini Marekani zimefanikiwa kuwakamata zaidi ya watu 90 na wamegundua na kuzifunga maabara 16 zilizokuwa chini