Tuesday 28 June 2016

UKIJAAMIANA NA UNDER 18 JELA INAKUITA..…!

June 27 2016 bunge la 11 limefanya mapitio ya marekebisho ya muswada wa sheria ya mtoto,
ambayo imeelekeza kuwa mtu atakayempa mimba mtoto ambaye kisheria anafahamika ni yule mwenye umri wa chini ya miaka 18, basi atahukumiwa kifungo cha jela miaka 30.
Kabla ya kutolewa kwa ufafanuzi wa sheria hii na serikali, yawezekana ulikuwa ukifikira inawahusu wale watakaowapatia mimba wanafunzi tuu.

Sasa sio hivyo tu kwani kwa maboresho yalifanyika, itakula kwako hata wewe utayefanya kitendo cha kujamiana na mtoto aliyechini ya miaka 18 hata kama alikubali mwenyewe.

Bonyeza play hapo chini kumsikia mwanasheria mkuu wa serikali George Masaju, alipokuwa akitoa maelezo juu ya sheria hiyo iliyoboreshwa.

0 comments:

Post a Comment