Wapenzi wa Snap Chap wamepata mfuasi mpya,kwani Mke wa rais Wa Marekani Michelle Obama sasa amejiunga rasmi na mtandao wa kijamii wa Snapchat.
Michelle
alitangaza kuwa atajiunga na Snapchat mwezi huu ambapo pia anajiandaa kwenda
Afrika kukutana na wanaharakati wa kumtetea mtoto wa kike kielimu.
Anatarajiwa
kuzuru nchini za Morocco na Liberia na baadae Spain.
Sasa
Michelle Obama ataweza kuwasiliana katika mtandao huo wa Sanpchart ambao
maarufu sana ukitumiwa na vijana.
Wapenzi wa
wa mtandao huu wanafurahia huduma ya Snapchat ya kuweka picha na habari na
video kufutrika baada ya saa 24.
0 comments:
Post a Comment