This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Thursday, 30 July 2015

Lowassa mgombea urais CHADEMA……

Aliyekuwa Waziri mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa amechukua Fomu rasmi ya kugombea urais kupitia tiketi ya Chadem...

Wednesday, 29 July 2015

Usikose nakala yako ya Gazeti la TABIBU kesho Alhamisi kwa bei ya sh. 500/= tu.!!                                                              TABIBU michezo wiki hii.!!...

Monday, 27 July 2015

Yengoma-Wimbo mpya wa Rais Museven wa Uganda....!!!!

Rais wa Uganda Yoweri Museven Hiii sio mara ya kwanza kioongozi huyo wa taifa uganda kutoa wimbo,kwani itakumbukwa wimbo wake wa You need another Rap,ulikuwa maarufu sana katika mitanda mbali mbali duniani. Kwa sasa ameachia single nyinge aliyooipa jina la Yengoma,ikiwa ni mahususi kabisa kwa ajili ya kampeni ya urasi mwaka 2016. Tenga muda wako kidogo kuisikiliza hapa chini kwa kubonyeza Play au unaweza kuishusha pia na ukaisikilizauda...

Mnenguaji ahukumiwa Misri........

Mmoja ya wanenguaji nchini MisriMnenguaji wa kike nchini Misri amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja kwa kosa la kuonekana kwenye video yenye utata mtandao...

Mwanawe Whitney afariki……………

Bobbi Kristina Brown mtoto wa marehemu Whitney Houston ambaye alikuwa gwiji wa muziki waR&B,amefariki dun...

Friday, 24 July 2015

Korea kaskazini yatoa utaratibu mpya kila ikifika saa 11 Alfajiri……

  Kama ulikuwa hufahamu ni kwamba Korea Kaskazini sasa hivi hali ya hewa ni joto sana, lakini yapo mengine toka huko ambapo msimu huu wa joto kali umepewa jina la Sambo...

Sayari nyingine yagunduliwa…

Wanasayansi wa taasisi ya Marekani ya Uchunguzi wa Anga NASA, wamegundua sayari inayofanana kwa karibu zaidi na dunia kuliko sayari nyingine zot...

Thursday, 23 July 2015

Gereza la Guantanamo lakaribia kufungwa..

gereza la Guantanamo linamilikiwa na MarekaniIkulu ya White house imesema kuwa mipango ya kulifunga gereza la Guantanamo Bay nchini Cuba imefikia awamu za mwis...

Wednesday, 22 July 2015

Mabadiliko ya muda wa kulala na saratani.

Ugonjwa wa Saratani Mabadiliko katika mfumo wa kulala unaweza kusababisha mtu kupata saratani ya Maziwa. Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya wanasayansi juu ya athari ya kazi za zamu kiaf...

Matumaini ya tiba ya ubongo…….!

Maradhi ya Alzheimer huua seli za ubongo Data zinasubiriwa kwa hamu kuhusu dawa inayotumainiwa kuponya ugonjwa wa udhoofu wa ubongo (Alzheimer) baadae le...

Tuesday, 21 July 2015

New Joint from Mambo band-Dadavua

Wanafahamika kama Mambo Band,kundi linaloundwa na vijana watatu P.Man Star,Yuyu na Musa Bhai,wenye maskani yao mitaa ya Sekei-Kaza moyo Arusha. Ngoma yao inafahamika kama DADAVUA imefanyika katika studio zao wenyewe zinazofahamika kama KM PRODUCTION MUSIC. Mwanzo walifahamika na wimbo wao maarufu unatambulika kwa jina la Kalala Bar,ulifanyika katika hizo hizo studio zao wenyewe na kufanya vizuri katika radio mbali mbali. Sasa hapa nimekuwekea...

Kitimtim michuano ya Klabu Bingwa Ulaya...

Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya inaendelea tena hii leo kwa timu zile zinacheza round yakwanza ambapo Dila Gori ya Geogia itakuwa na kibarua kigumu itakapoumana vikali na Partizan Belgrade ya Serbi...

Kizee chauawa kwa kudaiwa mchawi,India…….

Wanyama pia hutumiwa katika ushirikina Bibi kizee mmoja amenyongwa hadi kufa na wanakijiji wenzake, kwa tuhuma za ushirikina, kaskazini mashariki mwa Indi...

Thursday, 16 July 2015

George HW Bush avunjika shingo..........

Aliyekuwa rais wa Marekani George HW Bush amelazwa hospitalini baada ya kuvunjika mfupa wa shingoni alipoanguka nyumbani kwake huko Main...

Je wajua kuna tamasha la mbu Urusi…..?

Watu wengi wanawachukia, lakini mbu sasa husherekewa kwa tamasha la kipekee katika mji mmoja huko nchini Urus...

Umri wa kuolewa Uhispania ni miaka 16…

Uhispania imepandisha umri unaoruhusiwa kwa wasichana kuolewa hadi kumi na sita. Hadi sasa wasichana nchini humo wangeruhusiwa kuolewa wakiwa na miaka kumi na nne bora tu wapate ruhusa ya jaji. Sheria hiyo mpya sasa inanuiwa kupunguza visa vya udhalilishaji wa watoto nchini hum...

Picha ya kwanza kutoka sayari ya Pluto……

Picha ya kwanza inaonyesha kwa undani sayari ya Pluto ilivyo imeonyeshwa kwa mara ya kwanza dunian...

Wednesday, 15 July 2015

J.COLD AACHIA NGOMA NYINGINE-TUPENDANE FT NEY LEE

Kijana toka kilimanjaro anafahamka kama J.Cold anapokuwa na Microphone mkononi,ila jina lake la kiserikali ni January. Hapa ametuletea zawadi ya Idd kwa kuachia ngoma mpya aliyomshirikisha mwanadada Ney Lee aliyoibatiza jina la Tupendane,Unaweza kuipakua na kuisikiliza hapa chin...

Wabunge wa Rwanda wamuunga mkono Kagame kugombea muhula wa tatu..

Wabunge wa Rwanda wamepiga kura jana Jumanne kuunga mkono mabadiliko ya katiba, ili kumruhusu rais Paul Kagame awanie muhula wa tatu madarakani, wakiunga mkono waraka ulotiwa saini na mamilioni ya rai...

NASA wapata taarifa za Sayari ya Pluto……

Wana sayansi wa NASA kutoka Marekani wanasema kuwa,majaribio yao ya kurusha chombo kwenda katika sayari ya Pluto yamekuwa na mafanikio makubw...

Tuesday, 14 July 2015

Michuano ya Kagame kuanza kutimua vumbi...!!!

Michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati jumamosi wiki hii inaanza kutimua vumbi mjini Dar es Salaam Tanzania huku jumla ya vilabu 13 vikishiriki....

Monday, 13 July 2015

Kambi ya jeshi yaporomoka na kuua 23 Urusi…

Takriban wanajeshi 23 wa Urusi wameuawa karibu na mji wa Omsk ulioko Siberia,baada ya jengo la kambi ya kijeshi kuporomok...

Msako mkali Mexico wa muuza mihadarati……

Gwiji la Mihadarati anayesakwa Mexico Joaguin Guzman Mamlaka ya nchini Mexico limeanza msako mkali wa kumtafuta Joaguin Guzman gwiji la biashara ya madawa ya kulevya duniani, kufuatia kutoroka kwake katika gereza lenye ulinzi mkali mwishoni mwa wi...

Polisi 4 wauawa katika shambulizi Dar....

Maafisa wanne wa polisi na raia wawili wameuawa baada ya watu wasiojulikana kuvamia kituo cha polisi mjini Dar es salaam Tanzani...

Thursday, 9 July 2015

Udukuzi wa Marekani dhidi ya Ujerumani……

Vyombo vya habari vya Ujerumani vimeripoti kuwa,nakala za siri zilizochapishwa katika mtandao wa wikileaks hapo jana,zinanonesha kuwa shirika la usalama wa taifa la Marekani limekuwa likiwafanyia udukuzi machansela wa tatu waliotangulia wa nchi hi...

Wednesday, 8 July 2015

Mwanamme mzee zaidi duniani aaga dunia…!!!

Mwanamme mzee zaidi duniani raia wa Japan Sakari Momoi, ameaga dunia mjini Tokyo akiwa na umri wa miaka 11...

Marekani kufuta kazi baadhi ya wanajeshi..!!

Rais wa Marekani Barack ObamavVyombo vya habari nchini Marekani vimeripoti kuwa, jeshi la marekani limethibitisha kuwa na mpango wa kupunguza jeshi lake kwa kuwaachisha kazi askari wake wapatao arobaini kwa miaka miwili ija...

Mtandao usiokubali dhambi wavutia wengi....!!!

Waanzilishi wa Facegloria wanadai kwamba mtandao huo umewavutia wafuasi takriban laki moja tangu uzinduliwe mwezi Jun...

Friday, 3 July 2015

NI VITA BUNGENI JULY 3......

Baada ya jana Bunge kuharishwa kutokana na wabunge wa upinzani kugomea nia ya kuruhusu miswada mitatu ya mafuta na gesi, kuingizwa bungeni na kujadiliwa kwa hati ya dharura, leo limehairishwa tena baada ya kubuka mzozo bungeni huk...

Waziri aelezea hali ya ugaidi hapa nchini……

Naibu waziri wa mambo ya ndani Mheshimiwa Silima,amejibu swali juu ya hali ya ugaidi hapa nchini licha ya kifo cha kiongozi wa kundi la kigaidi Osama bin Ladden. Naibu waziri ameeleza hiyo leo bungeni mjini dodoma alipokuwa akijibu swali ya mbunge wa Chonga Mheshimiwa Haroub Mohamed Shamis, aliyetaka kujua hali ya ugaidi ilivyo hapa nchini. Katika majibu yake mheshimiwa Naibu waziri wa mambo ya ndani Silima,hapa anaanza kwa kuelezea ugaidi ni nini,Bonyeza play hapa chini kumsikili...

Huruhusiwi kushika mimba Uchina bila ruhusa……

Kampuni moja ya Uchina inapanga kutoa masharti,ambapo wafanyikazi wake watatakiwa kupata ruhusa kabla ya kuanza famili...

Thursday, 2 July 2015

Bunge lachafukaa..

Spika wa bunge Anna Makinda leo amelazimika kuliarisha bunge kabla ya muda wake wa kawaida, baada ya kuibuka mzozo mkali baada ya Madai ya Mbunge wa Ubungo Mhe.Mnyika, juu ya ukiukwaji wa kanuni za bunge katika kuwasilishwa miswada mitatu bungeni hapo....

Uhuru Kenyatta ndio rais bora Afrika……

Uhuru Kenyatta ndiye rais bora barani AfrikaRais wa Kenya Uhuru Kenyatta, amechaguliwa na muungano wa wanafunzi wa Vyuo vikuu barani Afrika AASU kama rais bora barani Afrika mwaka h...

Msumbiji yakubali mapenzi ya jinsia moja...!!

Nchi chache Afrika zimekubali mapenzi ya jinsia moja Msumbiji imehalalisha mapenzi ya jinsia moja,na kuwa moja wapo wa nchi chache Afrika zinazohalalisha mapenzi ya jinsia moj...