Thursday, 5 May 2016

BANGI KUWATIBU WAGONJWA UJERUMANI…!!

Mahakama moja nchini Afrika kusini imemhukumu mwanamke mmoja kifungo cha miaka 5,kwa
kujaribu kumuuza mwanawe kupitia mtandao wa kuuza na kununua wa Gumtree.

Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 20 atatumikia kifungo chake akiwa nyumbani, kwa sababu mahakama hiyo iliona kheri impe fursa ya kumlea mwanawe.
Msemaji wa mamlaka ya mashtaka ya umma Natasha Kara, anasema manamke huyo alinaswa na mtego wa afisi yao baada ya afisa mmoja kujidai kuwa ni mteja.
Akijitetea mwanamke huyo aliiomba mahakama imhurumie, kwani alizongwa na mawazo na ufukara baada ya mumewe kususia kumsaidia kumlea alipogundua kuwa hakuwa wake.

Hapo ndipo akaamua kumpeana ila alikosa njia mwafaka, na akalazimika kutumia mtandao huo wa kuuza Gumtree.

Related Posts:

  • Msumbiji yakubali mapenzi ya jinsia moja...!! Nchi chache Afrika zimekubali mapenzi ya jinsia moja Msumbiji imehalalisha mapenzi ya jinsia moja,na kuwa moja wapo wa nchi chache Afrika zinazohalalisha mapenzi ya jinsia moja. Sheria hiyo iliyowekwa na wakoloni wa nch… Read More
  • Facebook yafungua Ofisi Afrika kusini....!!! Kwa mara ya kwanza Facebook imefungua ofisi yake barani Afrika, Johannesburg nchini Afrika kusini ikiwa ndio makao makuu. Mwanadada Nunu Ntshingila ndie atakae ongoza ofisi hiyo itakayo jikita katika kutafuta njia mbali … Read More
  • Sikiliza Antenna show ya Juma tatu Tar 29-6 na Kiwa le 11. Kiwa Strong''Kiwale11" Show inakwenda hewani kila juma tatu mpaka ijuma kuanzia saa  kumi kamili jioni mpaka saa kumi na mbili na nusu jioni. Ina mchanganyiko wa habari,burudani,mahojiano na mazungumzo mbali mbali,un… Read More
  • Bunge lachafukaa.. Spika wa bunge Anna Makinda leo amelazimika kuliarisha bunge kabla ya muda wake wa kawaida, baada ya kuibuka mzozo mkali baada ya Madai ya Mbunge wa Ubungo Mhe.Mnyika, juu ya ukiukwaji wa kanuni za bunge katika kuwasilishw… Read More
  • Uhuru Kenyatta ndio rais bora Afrika…… Uhuru Kenyatta ndiye rais bora barani AfrikaRais wa Kenya Uhuru Kenyatta, amechaguliwa na muungano wa wanafunzi wa Vyuo vikuu barani Afrika AASU kama rais bora barani Afrika mwaka huu. Muungano huo unasema kuwa maelfu ya … Read More

0 comments:

Post a Comment