Thursday 5 May 2016

NEW TRACK: MACHO KODO-YUYU WA MAMBO BAND

Kutokea katika kundi la Mambo Band la jijini Arusha kijana anafahamika kama Yuyu Nasssor,baada ya kumsikia kwenye nyimbo kadhaa za kundi hilo sasa ametoka na solo project.


Ukiwa ni utaratibu mpya waliojiwekwa wa kila member wa kundi hilo kutoka na project yake,wa kwanza alikuwa P man Star na ngoma yake inayoiyea Swag like us,iliyotoka wiki iliyopita unaweza pia kuipakua katika blog hii.

Kwa upande wake Yuyu ngoma ya kwanza kuiachia ni hii hapa chini inakwenda kwa jina la Macho kondo ikiwa imefanywa na producer Musa Bhai katika studio za KM Music.

0 comments:

Post a Comment