Italia imekuwa mojawapo ya mataifa ya mwisho ya Magharibi,
kuhalalisha ndoa za jinsia moja.
Bunge la Italia limepitisha kwa wingi wa kura mswada wa kuitambua kisheria ndoa ya jinsia moja, baada ya mswada huo tayari ulipitishwa na baraza la Seneti Ijumaa iliyopita.
Italia kwa muda mrefu imetolewa wito kutoka kwa mahakama yake yenyewe ya kikatiba, na mahakama ya haki za binaadamu ya Ulaya kuhalalisha ndoa ya jinsia moja.
Wahafidhina na Kanisa Katoliki wanaipinga hatua hiyo.
0 comments:
Post a Comment