Monday 2 May 2016

NGOMA MPYA YA P-MAN STAR.!!

P Man Star ni mmoja wa wasanii wanaounda kundi la Mambo Band lenye maskani yake maeneo ya Sekei jijini Arusha.



Kundi hili linafanya mziki wa Afro Pop na limefanya vizuri mwaka jana na ngoma zao kama, Kalalabar na Dada vua.

Mwaka huu wameoamua kuja kitofauti kidogo kwa kila mmoja kuachia ngoma yake mwenyewe na wa kawnza kuachia ngoma yake ni P.Man Star ambaye tayari ngoma yake inayokwenda kwa jina la Swagg Like Us akiwa ameshirikia na De Elements X Ranking.

Unaweza kuishusha na kuisikiliza kwa kubonyeza playa hapo chini.

0 comments:

Post a Comment